DR. ALINANUSWA's DAY!!!

BRIDE                     ::DR. ALINANUSWA
EVENT                    ::KITCHEN PARTY
VENUE                    ::MAKUMBUSHO YA TAIFA HALL
COLOR                   ::PURPLE, ROYAL BLUE, GREY & CREAMCC
MC                           ::COLUMBA +255 715 394 885
NI DOCTOR. BY PROFESSIONAL, HII ILIKUWA NI SIKU YAKE, ALIPENDEZA PAMOJA NA WANAKAMATI WAKE, DR. ALINANUSWA KAPENDEZA NA YUKO CHARMING, ZAMA NDANI KAMA KAWAIDA YETU!!!!

DR. AKIINGIA UKUMBINI..!!
SHURTI KWA VIDOLE!!!! TAMBA ITS YOUR DAY!!!
UMEMUONA DR. AKITAMBA PENDEZA KWA SANA
MC COLUMBA AKIFANYA VITUS
KUMPATA + 255 715 394 885
DR. ALINANUSWA AKITOA INTRODUCTION
DECOR....
CAKE & CHAMPAGNE
KEKI YA DR. ILIHU
KILA SIKU MAMA NDIO WA KWANZA .....!!! MIE NAMUITA DR.
MAMA AKIMLISHA MTOTO
DR. ALINANUSWA AKIMSHUKURU MAMA KWA MALEZI BORA
ZAWADEE NA MAMA KUTUNZWA
MAMA NA MARAFIKI ZAKE WAKIPELEKA KAPU LA MAMA
KAPU LA MAMA HILOOOO!!!
KINA MAMA WALIMKABIDHI WASHING MACHINE
KINA MAMA WAKIMPONGEZA MAMA MZAA CHEMA
DR. ALIKABIDHIWA KITI CHAKE NA MUME WAKE MTARAJIWA
WANAKAMATI WAKITOA ZAWADEE
WANAKAMTI WAKIINGIA
WALIANZA KUKABIDHI VIOMBO VYA JIKONI
WANAKAMATI
KAMATI YAKABIDHI KABATI LA VIOMBO
DINNINGTABLE
MAMBO YA KUJIWEKA SAWA HAYO
MASHOSTITO WAKIMTUNZA DADA...!!!
DR ALINANUSWA AKIMVISHA MAMA YAKE ZAWADEE YA MADINI...!!
CHAKULA
NYUSO
SISTERZ
MAMA MZAA CHEMA
RED CARPET
MAMA NA MWANA

Post a Comment

12 Comments

 1. harusi nzuri sana maana bi harusi amependeza na hakuna watu walokaa manyonyo nje kila mtu kavaa nguo japo fupi lakini imemfuika vizuri na wamependeza,na wala hakuna mekup za uchawini mungu awabarikini

  ReplyDelete
 2. Duh! hyo sare yao nzuri sn

  ReplyDelete
 3. PICHA KUFUNGUKA HUWA NI BALAA JARIBU KUREKEBISHA HILI TATIZO

  ReplyDelete
 4. WAMEPENDEZA SANA , BIBI HARUSI IS BLACK BEAUTY , MSAADA WA HARAKA DINNING TABLE KAMA HIYO NITAPATA DUKA GANI HAPA DAR , NIMEZUNGUKA SANA JAMANI ANAYEJUA ANISAIDIE MWANAMKE MWENZIE HAPA , NATANGULIZA SHUKURANI

  ReplyDelete
 5. my dear jaribu kurekebisha hili tatizo hata mimi picha shidaaaaaaaaaa sana kufunguka plzzzzzzzzzz jitahidi kutatua tatizo , shuhuli ilikuwa nzuri

  ReplyDelete
 6. Congrats Dr,the smile keep it forever

  ReplyDelete
 7. Hongera Dr umependeza. Shughuli pambe bwana wanakamati wananogesha Shughuli bwana . Big up

  ReplyDelete
 8. sare yao imetulia na sherehe ni nzuri kwa ujumla hongereni sana

  ReplyDelete
 9. such a beautiful bride to be..so proud of u..keep the smile on always..hongera Dr.

  ReplyDelete
 10. Dinning Table kama hizo mbona zipo kibao, varieties pale Shule ya Uhuru, kama unatoka Kariakoo upande wa kulia kwako utachagua unayoitaka, bei ni nzuri tu.

  ReplyDelete
 11. Nashangaa wanaosema picha ni tabu kufungua mbona mimi haisumbui, nafikiri wewe matatizo ni either their internet connection is very poor or computer too slow

  ReplyDelete
 12. sherehe nzuri na imenoga,bi harusi hongeraa sana umependeza

  ReplyDelete