NOELA KITCHEN PARTY!!!!

BRIDE                     ::NOELA
EVENT                    ::KITCHEN PARTY
VENUE                    ::KILIMANJARO PARK
COLOR                   :: BLUE & CREAM
ENTERTAINMENT::RUSHA ROHO
CAKE                      :: MANZI BAKERY - +255 713 248 153
KITCHEN PARTY YA NGUVU YA NOELA HAPO SINZA, WATU WALIKUNYWA NA KUSANZA HAPANA CHEZEYA WATU WA BANDARI, BI ARUSI NOELA PENDEZA KWA KWENDA MBELE, KILA MTU NA SIKU YAKE, HII ILIKUWA SIKU YA NOELA

MC

MAMA AKIINGIA
PAMBE YA MASHOSTITO WANA WA BANDARI WAKIMUINGIZA MAMA MZAZI UKUMBINI
MASHOSTITO WAKICHEZA NA MAMA DULLA
BAADA YA KUINGIA MAMA AKAMPOKEA
NOELA AKIFICHULIWA
HAPANA CHEZEYA MAMA DULLA, MAMA WA BANDARI PESA MATUMIZI AKIMFICHUA MWANAYE KWA DOLLAR
MWANAIDI AKIMFICHUA MWARI
DECOR
 ZAWADEE
CHAMPAGNE 
WAKANYWISHANA KEKI
KEKI
NOELA AKIKATA KEKI
NOELA ALIMLISHA MAMA KWANZA
MMOJA WA WIFI AKIONJA KEKI 
WAZAZI WAKIONGEA
MAMA MZAZI WA DULLA AKIONGEA NA BINTI YAKE
BAADA YA MAMA KUMALIZA NOELA AKAMHUG MAMA
DADA YAKE NOELA WA KIROHO AKIONGEA NA MDOGO WAKE
NYUSO
MAMA NA MWANA
WANAKAMATI
MAMA MZAZI WA NOELA
NOELA AKIPEWA ZAWADI NA MAMA AKIFUTWA JASHO
MAMA AKITOA ZAWADI YAKE ILIFICHWA NOELA ASIIONE
ALIFUNGWA MACHO ASIONE ZAWADI YAKE
AKAMFUNGUA KITAMBAA KUONA ZAWADI YAKE
MAMA DULLA AKIFUTWA JASHO
SOMO ALIANZA KUMPA SUPU MAMA MZAZI
KISHA AKAMFUNGA MKAJA
KISHA SOMO NURU AKASASAMBUA SANDUKU
NOELA NA MAMA WAKITUNZWA
DADA ZAKE WA KIROHO TOKA LIVINGWATER CHURCH WAKITOA ZAWADI
WIFIS WAKIMPA ZAWADI WIFI YAO
HAPANA CHEZEYA MWANAIDI AKIMFUTA JASHO SHOSTITO WAKE MAMA DULLA
SOMO NURU ABDALLA AKIFUTWA JASHO NA MAMA DULLA
WANAKAMATI WAKIKABIDHI ZAWADI YAO
RED CARPET

Post a Comment

11 Comments

 1. ALIPENDEZA SANA ILA NA UZURI UNACHANGIA

  ReplyDelete
 2. kitu mwaaaaaaaa! pendeza babe ya mine

  ReplyDelete
 3. Huyu bibi harusi anataka kufanana na yule farha,angepata mtu wa make up mzuri angependeza sana

  ReplyDelete
 4. alipendeza sana!!! i wish sendoff leo hapa kwetu picolo beach ndo itanoga zaidi.

  ReplyDelete
 5. PICHA ZIMETULIA .BIBI HARUSI HONGERA SANA NA KAMATI YAKO ILIJIPANGA VILIVYO

  ReplyDelete
 6. wamependeza mashaAlah biharusi mzuri. mama yake utadhani dada yake tu,

  ReplyDelete
 7. kapendeza,ila i do not like that eye make up...anabahati bibi harusi ana mvuto otherwise angetokea kituko!

  ReplyDelete
 8. jamani hiyo hair style ya bi harusi hapana elewa kabisa, hawajamtendeea haki ni mbaya kwa kweli. watu walipendeza sana waalikwa nimewapenda sijaona yale mapooda wanayojikandika. mama anafanana sana na mwanawe. all in all bi harusi nae kapendeza lakini hajafikia send off yake.

  ReplyDelete
 9. POINT OF CORRECTION HELLEN, hamna wafanyakazi wa bandari hapo hao ni ma-agent tu wanafanya clearing kabla hujapost hv vitu wawe wanakueleza ukweli bwana.

  ReplyDelete
 10. mmmmh mbona HUNA HASIRA SANA, UTAFIKIRI UMEMEZA SUMU, WAPENDE WANAWAKE WENZIO, KWANI UNGEKAA KIMYA, UNGEPUNGUKIWA NINI?

  ReplyDelete
 11. Pendeza sana bi harusi na mama yake wazuri jamani wanafanana mama ana baby face utafikir dada yake waalikwa mimi penda sana nyinyi mmependeza sana woteeeeeeeeeeeeeee.

  ReplyDelete