NOELA's SENDOFF PARTY!!!

BRIDE                     ::NOELA
EVENT                    ::SEND OFF PARTY
VENUE                    ::PICOLO BEACH HALL
COLOR                   :: SILVER & RED
MAKEUP                 ::GLAMBOX WEDDING
DESIGNER             ::MUSTAPHA HASSANAL
ENTERTAINMENT::RESPECT DJ's
CAKE                       :: MANZI BAKERY - +255 713 248 153
HUU NDIO USIKU WA NOELA ULIVYOKWENDA, NOELA ALIPENDELEA RANGI NYEKUNDU NA SILVER AMEPENDEZA SAWASAWA, NOELA AMEVISHWA NA MBUNIFU MKUBWA HAPA KWETU MUSTAPHA HASSANAL, HAIRSTYLE NA MAKEUP NI GLAMBOX WEDDING, USIKU WAKE NOELA ALIKUWA QUEEN STYLE YAKE YA KUMTAFUTA MCHUMBA NIMEIPENDAJE KUMBE WALINZI WALIKUWA NA KAZI SPECIAL...

NOELA AKIWA NA MATRONE WAKE NA WALINZI AMBAO HAWAKUKAA HATA KIDOGO
 
DECOR.....
MC
MC MATEMBA NDIO ALIONGOZA SHUGHULI
WAZAZI WA NOELA WAKIINGIA MR & MRS MARIKI
 MABIBI WAKIINGIA UKUMBINI
NOELA AKIINGIA......!!!!
 GARI ILIYOMLETA QUEEN
 QUEEN NOELA AKISHUKA NDANI YA VOGUE
 AKIWA ANAJIAMINI ZAIDI, NDIO YALE YALE MANENO YANGU UKIPENDEZA UNAJIJUA
 NOELA AKIINGIA UKUMBINI KWA WIMBO WA DINI "NI KWA NEEMA TU NA REHEMA"
HAWA NDIO WALINZI WA NOELA
KAKA YAKE NOELA AKIMKABIDHI KIMILA NOELA KWA MSHENGA
 KAKA YAKE NOELA ALIONGEA MANENO MACHACHE KABLA YA KUMKABIDHI NOELA KWA MSHENGA
 KAKA AKIMKABIDHI NOELA KWA MSHENGA
UPANDE WA MUME MTARAJIWA WAKIFURAHIA KUMPATA NOELA
CAKE
NOELA AKIKATA KEKI
NOELA NA MATRON WAKE WALILISHANA KEKI
NOELA AKIPELEKA KEKI KWA WAZAZI
MAMA NA BABA WAKIPEWA KEKI YAO YA ASANTE
WAKWE WAKIPEWA ASANTE YAO
MWENYEKITI WA KAMATI AKIPATA KIPANDE CHA KEKI KAMA ASANTE
CHAMPAGNE
BAADA YA CHEERS NOELA NA WAZAZI WALIZUNGUKA KUGONGA GLASS NA WAALIKWA, DUH AFADHALI HAKUNA MSTARI YA KWENDA KUGONGA GLASS
NDAFU
 BABA NA MAMA WAKIENDA KUKATA NDAFU
 BABA AKIKATA NDAFU
 MAMA AKIMLISHA NDAFU NOELA
MAMA NA BABA WALILISHWA NDAFU NA BINTI YAO
NOELA AKIMTAFUTA MCHUMBA
HAPA ILIKUWA KAMA NAIJA MOVIE...!!!
AMRI ILITOKA KWA MALKIA KWENDA KUMTAFUTA KING
WALINZI BAADA YA KUPEWA AMRI NA QUEEN KUMTAFUTA KING NA KUMLETA
WALINZI WALIPOONA JAMAA KAVAA SUTI YAKE WAKAMCHUKUA
KUMBE SIO HUYU
WALINZI WALIMLETA SIYE MBELE YA QUEEN, NA ALIWAAMURU KUMTAFUTA MPAKA WAMLETE
QUEEN ALIPOMUONA KING ALIFURAHI SAAANA
BAADA YA WALINZI KUMPATA MCHUMBA WA NOELA AMBAYE YEYE ALIMUITA KING WALIMLETA MBELE YA QUEEN
NOELA AKIMHUG MCHUMBA WAKE
NOELA AMINI MACHO YAKE
HAPPIEST MOMENT
KISHA AKAMKARIBISHA MCHUMBA WAKE KWA CHAKULA CHA USIKU
QUEEN AKICHAGUA VYAKULA
CHEZA
 NOELA AKICHEZA KWA FURAHA KATIKA USIKU WAKE
 KWAITO
BABA NA MAMA WAKITOA SHUKRAN NA KUMPA NOELA MKONO WA PONGEZI
 BABA AKITOA SHUKRAN ZAKE
 MAMA NAYE AKIONGEA NA NOELA NA KUTOA SHUKRAN KWA WAGENI
MAMA AKIMHUG....MREMBO WAKE
BIG HUG FROM DAD'S DAUGHTER
NYUSO
STYLISH COUPLE, HUWEZI AMINI KAMA NI WAZAZI WA NOELA...!!! VIJANA
MAMA NA MWANA
MAMA NA BABA WAZAZI WA NOELA
MAMA DULLA, HAPANA CHEZEYA PROFFESIONAL YAKE NI DRIVER, ANAENDESHA SEMI TRAILER TOKA TANZANIA TO MALAWI
MR. MARIKI
NOELA AKIWA NA BFF WAKE
HAPANA CHEZEYA MWANAIDI NA MASHOSTITO
MWANAIDI & NOELA
MR & MRS MARIKI WAKIWA NA FURAHA
NANI NI NANI??
MCHUMBA WA NOELA GODFREY
BEAUTIFUL GIRLS
NOELA AKIWA NA MASHOSTITO WAKE
MAMA NA MABINTI
MWANAIDI & FRIEND
NURU SOMO WA NOELA & MWANAIDI
MWANAIDI & SHOSTITO
MC COLUMBA
RED CARPET
 STYLISH MR & MRS MARIKI

Post a Comment

25 Comments

 1. Wamependeza wazazi na bi harusi mtarajia. Jamani ningependa kudos ushauri hivi kwa nini wanaume wa bongo wanavaa suti na lebo Hawaii mkononi? Baba wa bi harusi na huyo kijana aliyeletwa mbele na walinzi kwanza hawajatoa lebo mweee, siwezi kusema in ushamba but wauza nguo za kiume wangekuwa wanawaelimisha baba na kaka zetu.

  ReplyDelete
  Replies
  1. ha ha ha haaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!

   Delete
 2. Eh helen huyu bi harusi kafanana na yule farha uliwahi kuweka harusi yake humu balaa,hmm ni copy yake kabsaaAaa

  ReplyDelete
 3. Glambox mmezidi kuchana watu style moja kha!mpaka inakera tafuteni mtaalam wa nywele bana

  ReplyDelete
  Replies
  1. co wamezid hayo ni mapendekezo ya bi harusi mwenywe tangu lin bi harusi akawa anachaguliwa cha kufanya esp na mtu wa saloon..tena unaonyesha huwa hutembelei sana hyo blog yake..tena kunasku alsema bi harusi amechagua aina hii ya nywele..

   Delete
  2. Me mwenyewe nilienda kupambwa pale kwenye kparty, sendoff na harusi na nilichanwa style za nywele tofauti na hata makeup ilikua tofauti, so ni mapenzi ya bibi harusi mwenyewe.

   Delete
 4. Huyo mtengeneza cake hakujua rangi husika ni zipi??ni nini kuweka pink

  ReplyDelete
 5. So cute nimependa make up yake, tofauti na kitchen party walimharibu kweli. Send off big up, perfectooo.

  ReplyDelete
 6. Makeup & Hairstyle=100%
  Nguo=65%
  Decoration=85
  Cake=45%%

  ReplyDelete
  Replies
  1. Wivu tu huo..Nguo 200% kapendeza saaaana cake 100%

   Delete
 7. kwa kweli from ma heart, bi harusi amependeza saaaaaana jamani! u loook mwaa. hongera sana noela mwenyezimungu awajaalie ktika maisha yenu ya ndoa

  ReplyDelete
 8. Hata mimi nakubaliana na mdau kuhusu glambox. Hawana mchanaji wa nywele wana style moja tu ya kulaza nywele

  ReplyDelete
  Replies
  1. sio hawana style za nywele sema mtu mwenyewe anapenda achanwaje lol watanznia

   Delete
 9. Huyu mama wa bi harusi (mama dulla) anafanana na dada mmoja anaitwa joanita au jovita alikuwa anakaa co-cabs nkurumah. ndo yeye???
  Otherwise harusi nzuri

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ndio yeye ila mtoto mkubwa wa kuoza sijui alimtengeneza lini anaitwa Georgita binti Mashanga wamependeza sana, nilisoma naye Primary Bunge

   Delete
  2. nilisoma bunge huyu binti kama namkumbuka otherwise kapendeza na sherehe nzuri

   Delete
 10. Nenda kwanza wewe kamuulize Sheria na Kadinda kwanini wanaume hawatoi lebo kwenye suti, mwisho wa siku tutajua nani mshmba, wewe au wao.


  ReplyDelete
  Replies
  1. I am writing to implore you to address what I consider to be a particularly distressing trend in men’s fashion. I have often noticed on men’s suit jackets that the designer puts a label on the sleeve of the coat. It is understood that one is supposed to remove such a label before wearing the coat; however, as I have surveyed the crowds at many social gatherings lately, I’ve been shocked to spot more than a few sleeve labels being sported without shame. Is nconscionably tacky to wear the suit with the tag still on it Because many labels are made of fabric, I think some people are under the impression that they are part of the suit. Perhaps a message to the masses would be that labels are a secret best kept between you and your tailor.

   Delete
 11. kapendeza saaaanaaaa sijawahi to comment but i have to stand and defend the mbunifu aliye mvisha bi harusi jaammani hata kama hajapendeza but read my lips she was dressed by Famous designer in Tanzania alafu unasema 65 % .
  kwenye nywele nawaunga wadau waliosema kua unachagua mwenyewe sio kama style ni moja .. pitia blog ya madam utaona vitu vyake

  ReplyDelete
 12. Glambox nawasifu kwa make up ni asilimia 100. Walipoanza nadhani kwani sina hakika walikuwa na mchanaji nywele mzuri ila kwa sasa sijui kwani mdogo wangu alikwenda pale kwa send off na reception and the style was the same. Mchanaji is not much creative ama wa awali kaondoka ndio maana nasema nadhani. Ila nawasifu kwa kuwafunga vilemba bi harusi wa kiislamu. wanapendeza sana. Kwa hapo mko juu!!!

  ReplyDelete
 13. kwa uso wake jinsi ulivyokaa nywele ulitaka zichanweje, au ulitaka wazipeleke mbele mkia uwe kwenye paji la uso, mtazamo tu mtindo wa nywele na uso zimeendana sawa sawia

  ReplyDelete
 14. Big up Mamaa Manzi kidogo kidogo utapanda tu, kwani hao wengine walianzaje? Naona unaweza nakuaminia

  ReplyDelete
 15. Red dress is really hot and all is perfect :)
  Awesome.

  Best Christmas party venue London///

  ReplyDelete
 16. Jamani hawa wazazi wake they look so young!!!ni macho yangu au?nahisi walimzaa wakiwa bado vijana sana kama sio basi wana damu nzuri mno...sherehe ilipendeza sana,congrats!!!

  ReplyDelete