NURAH KITCHEN PARTY!!!

BRIDE                     ::NURAH OMARY
EVENT                    ::KITCHEN PARTY
VENUE                    ::MAJESTIC HALL SINZA
COLOR                   ::GREEN, ORANGE, CREAM & ROYAL BLUE
MAKEUP                 ::KIBE LISEAOUS
CAKE                       ::BABUJI
CATERER               ::SIMAMA CATERING
 WADAU WA MASHUGHULIBLOG MTAKUBALIANA NA MIMI NURAH ANA UNIQUE FACE, NI MSICHANA ANAYEJIPENDA, MPOLE MWENYE TABASAMU WAKATI WOTE, HII ILIKUWA NI SHUGHULI YAKE YA JIKONI, MAMA MZAZI WA NURAH AKIUNGANA NA WENZAKE KATIKA KUMPA MWANAO ZAWADI ZA KUANZIA MAISHA KAMA KUMPIGA JEKI, PIA ANAPATA MAWILI MATATU YA JINSI YA KUISHI NA MUME WAKE MTARAJIWA, JAPO WENGINE WANASEMA NDOA HAIFUNDISHWI BALI TWAPASWA KUMPA MWANGA WA KUANZIA....NURAH ALIPENDEZA NA NGUO YAKE YA GREEN.......

NURAT AKIINGIA UKUMBINI
 NURAH AKITOA UTAMBULISHO WA FAMILIA

DECOR
MWARI AKIFICHULIWA
ZAWADEE
CAKE

NURAH AKIPELEKA KEKI KWA WAZAZI

WANAKAMATI UKIONA TU HII STYLE JUA NI YA WANAKAMATI
ALIPOMALIZA KUWAPA WAZAZI NDIPO AKAKATA KEKI YAKE
KWA KUJIAMINI NURAH ALIFUNGUA CHAMPAGNE YAKE
ZAWADEEE
NURAAT ALIANZA KUKABIDHIWA ZAWADEE ZAKE NYUMBANI, KABLA YA KWENDA UKUMBINI, ALIVAA NGUO YA KWANZA YA KITENGE
NURAH AKIKABIDHIWA ZAWADI ZAKE NYUMBANI NA MAMA NA WANA FAMILIA
MAMA ALIANZA KUPELEKA SANDUKU
 MAMA AKIINGIA NA SANDUKU LAKE HUKU KABEBA SHATI LA MKWEWE
 NURAH AKIMVISHA WIFI YAKE SHATI LA KAKA
 MAMA MZAZI WA NURAH AKIFUTWA JASHO
 
 
 
 NURAH AKUWASAHAU BIBI ZAKE WOTE KWA KUWAPA ZAWADEE
 NURAH AKIWATUNZA MAMA ZAKE
NYUSO
RED CARPET

Post a Comment

3 Comments

 1. Make ups, color na kivazi umependeza sana. Mungu akujaalie heri katika mwanzo mwema wa maisha mapya ya ndoa.

  ReplyDelete
 2. Mashughuli upo juuu kwa picha za kitchen party kiukweli, wengine wote wanaopiga picha za kitchen party na kuweka kwenye blog zao wanajikongoja, watasubili saaaaannnaaaaa.

  ReplyDelete
 3. Umependeza sana baby, una sura nzuri, big up kwa make-up dresser, amekupamba vizuri sana, make up ya wastani, sura yako imeonekana, Tusijisahau, tunapaka make-up up tupendeze, na sio tubadilike sura zetu.

  Hongera sana, wewe na watu wote hapo. Mikorogo hamna.

  ReplyDelete