NURAH SENDOFF PARTY!!!

BRIDE                     ::NURAH OMARY
EVENT                    ::SEND OFF PARTY
VENUE                    ::LAMADA
COLOR                   ::BLUE, RED & SILVER
MAKEUP                 ::KIBE LISEAOUS
CAKE                       ::BABUJI
BAADA YA KITCHEN PARTY YA NURAH, HII NI SENDOFF PARTY YAKE, KAMA KAWAIDA YA NURAH KUPENDEZA KWAKE NDIO KAULI MBIU, SHUGHULI ILKUWA NI FUPI HAINA KUPOTEZA MUDA, WAALIKWA WALIPATA MUDA WA KUCHEZA....!!!

NURAH AKIINGIA UKUMBINI
DECOR
CHAMPAGNE
 NURAH ALIFUNGUA CHAMPAGNE YEYE NA MATRONE WAKE
NURAH ALIWAJIBIKA IPASAVYO
 CHEERS YEYE NA MATRONE WAKE
 CAKE
 NURAH AKIKATA KEKI
 ALIANZA KULISHANA NA MATRONE WAKE
 BIBI WAKIPATA KEKI YAO
 AKIWAPA WAKWE ZAKE KEKI 
 WADOGO ZAKE PIA WALIPATA KEKI
NURAH AKIMPA BABA YAKE KIPANDE CHA KEKI
NURAH AKIMTAFUTA MCHUMBA
NURAH AKIMTAFUTA MCHUMBA WAKE
 NURAH KAMUONA KIPENZI CHAKE NA KUMPA APPLE
 
 BAADA YA NURAH KUMPATA MCHUMBA WAKE AKAMTAMBULISHA NA KUITAMBULISHA FAMILIA YAKE
BWANA ARUSI MTARAJIWA AKIITAMBULISHA FAMILIA
 
KISHA AKAMKARIBISHA MCHUMBA CHAKULA CHA JIONI
BURUDANI
KWAITO YA NURAH
 NURAH AKICHEZA NA SALHA
MKONO WA PONGEZI
BIBI ZAKE NDIO WA KWANZA KUMPA MKONO WA HONGERA
 MAMA MLEZI AKIMPONGEZA NURAH
  WAFANYAKAZI WENZAKE WAKIMPONGEZA NURAH
WADOGO ZAKE NURAH WAKIPELEKA SHELF YA VIATU KAMA ZAWADI KWA DADAYAO
 KAMATI IKIJA MBELE KUTOA ZAWADI
 WANAKAMATI WAKITAMBA
 KAMATI IKIKABIDHIA ZAWADI YAO
 MWENYEKITI WA KAMATI AKIONYESHA HUNDI YA SHS. 1,000,000
NURAH AKIWASHUKURU WANAKAMATI
NYUSO
RED CARPET

Post a Comment

6 Comments

 1. Nguo ya biharusi nzuri sana na imempndeza sana bt naona kama swala la kurembwa uso na nywele sijalipenda sana. hajatokelezea ile sana ila amependeza

  ReplyDelete
 2. Mmmh waswahili nasi kwakukosoana jamani bi harusi kapendeza sana make up safii nguo ndo usiseme mung akujalie ndoa njema ukaishi salam na mumeo bi shost

  ReplyDelete
 3. Make up iko poa sn kwn siyo nyingi sana, lakini wabongo hatuna kizuri mtu akipambwa sana mnasema sasa cjui ulitaka apambwe vp! hebu weka picha zako na wewe tukuone fyuuuu.......!

  ReplyDelete
 4. Makeup ni simple and nice...kapendeza...tatizo wabongo wanapenda makeups kama za kwendea Halloween party...

  ReplyDelete
  Replies
  1. JAMANI KAPENDEZA SANA NIMEPENDA BIG UP MY DIA

   Delete
 5. Kapendeza sana hiyo ndio make up sahihi. mtu akipakwa sura yake inaonekana, unataka mtu apambwe awe kama amefanya face paint? kama watoto wameenda kutembea sikukuu. huyu mtu mzima, make up kama hii ndio inaonesha uzuri wa mtu, Na kama hujui mdau, ukiwa na sura kidogo mtihani, basi ukijipaka make up za ajabu ndo unajikoroga kabisaaa!

  Big up umependeza sana watu wanataka kuona mikorogo.

  ReplyDelete