ONJA:: ABDALLAH & MARYAM RECEPTION WEDDING!!!

HAYA WADAU NAWAONJESHA PICHA ZA WEDDING RECEPTION YA ABDALLA & MARYAM, BAADA KUONA AQDI YAO SASA LEO TUONJE KIDUCHU, SITAKI KUONGEA SANA MAANA NA MIMI NI MUHUSIKA NASIKILIZA TOKA KWENYE OFFICIAL PICHA ZA ABDALLAH SOON FROM KINARA MOBILE STUDIO

ASILA KAMALIZA KAZI YAKE WELL DONE GIRL
 BI MARYAM AKIINGIA UKUMBINI
MAARUSI WAKIINGIA UKUMBINI
 NEW COUPLE
ABDALLAH NA BEST MAN GAITAN AZIZ
 
WAGENI WAKIINGIA NA KUSAINI GUEST BOOK
CAKE
MAARUSI WAKIKATA CAKE
HELLEN AKIWAPA MAELEZO YA KUKATA KEKI
KEKI ILITENGENEZWA NA SWEET CORNER, CONTACT ZITAPATIKANA HAPA HAPA
SWEET CORNER
TULIKUWA NA SWEET CORNER!!! SUBIRI PICHA KAMILI
BURUDANI
WAALIKWA WAKIRUSHA ROHO!!
 CHAKULA
JAMANI MAMA WA MADIKODIKO MARIAM TWAHIR AFANYA MAMBO MAKUBWA, CHAKULA KITAMU HAIJAWAHI TOKEA, ANASEMA UJUZI UNAONGEZEKA KILA SIKU
 MAARUSI WAKIPATA CHAKULA 
 WOOH!!
AMINA MTENGETI, HASINA & MAARUSI
 MAARUSI & BEST FRIEND WA ABDALLAH BEN
 HELLEN & MAARUSI
 AISHA MASIKA, HANIFA, MASIKA HASINA MOO
 MAARUSI NA KAKA JAFFARY
 HELLEN, MR. MSUYA & FATMA SIMBA
 MR & MRS HASHIM
 SHARRIFA OSMAN, KHADIJA MTEMVU
  WAZIRI SOPHIA SIMBA, HASINA KAWAWA & MKWE WETU
 WAZEE WA SAIGON
FATMA SIMBA & FATMA KIMARIO & HUSBAND
 HEKAL, JOKHA & FRIEND
 MUSTAPHA, HAFIDH & MAKUNDA
 GEORGE NZUNDA, FRIEND & MOODY EL MAARY
 MR & MRS TEWA
MAMA KARUME A.K.A TEACHER & DA ROSE
WHITE & BLUE CARPET
 ABDALLAH AKIWA NA MR & MRS SIMBA
 KARUME & MAMA ZAKE
 SHAMTE's FAMILY
SALMA & SHOSTITO
AGAHOWA, HAFIDH, JAFFARY, KIBABUDE & GEORGE
 JAFFARY & HAFIDH
 JAFFARY, ABDALLAH, JAFFARY & SADALA
MARIAM, MAKUNDA, JAFFARY, SADALA, GEORGE, ABDALLAH SIMBA & LAS
WATU PENDEZA EEH!!


Post a Comment

7 Comments

 1. wamependezaje kama naija vile. daah nimeitamanije kama iwe yangu.

  ReplyDelete
 2. Japo umebana comment zangu za ndoa, lakini siachi kusema watu wa hii harusi wanajielewa kwakwl hongereni sana na pia kwenye reception angalau uzuri wa bibi harusi umeonekana!

  ReplyDelete
  Replies
  1. wel mdau,uzuri wa bi harusi kwenye sijui aqdi ulifichika kabisaaaaa,cjui mpambaji hakumtendea haki au vipi,lakin white gown aah imenogajeeeeeeeeeeeeee,,jaman hiyom nguo nzuri sana imetoka wapi na ss watarajiwa tujiandae..nimependa juu ilivyokaa lace yake..hongera Joha na fatma simba kwa kuozesha mwe mshakzeeka tena hadi mmeozesha..

   Delete
 3. hongera somo wangu wakimataifa bi jokha

  ReplyDelete
 4. HARUSI UNAFATA UZURI AU TABIA? NI KWELI BI HARUSI MZURI MASHALLAH MWENYEZI MUNGU MUONDOLEE HUSDA AISHI VIZURI KWENYE NDOA YAKE MILELE.

  ReplyDelete
 5. Maharusi mmpendeza sana, Ma Sha Allah!! M.Mungu aidumishe ndoa yenu. Kwa mdau asofaham maana ya uzuri! Elewa, mke ni malezi na tabia nzuri, na ndio Abdullah akamchagua Maryam! Habari ndio hio na ukichunguza iutapata hiyo hiyo!!

  ReplyDelete
 6. kwa kweli huwa siandikagi comments kwenye blog hii, lakini hii imenigusa jamani watu wenye nazo utawajua katika shughuli zao hii familia huwa ni noma, hongera bi joha, kwa kuzaa watoto wazuri pia umepata mkwe mzuri,

  ReplyDelete