ONJA:: AQDI YA ABDALLA & MARYAM LEO @ MIKOCHENI

 MARYAM MKWE WETU
WADAU SIWEZI KUONGEA SANA, ANGALIA PICHA MAMBO YOTE KESHO, SAA HII NI WARUMBA NA GUSAGUSA LIVE BAND.....!!!

 


  ABDALLAH NA MKE WAKE WAKIINGIA PANGA

Post a Comment

17 Comments

 1. mashallah bismimshallah bi harus hinnaaaa mpakaji hongera sana na shughuli nzuri goodluck

  ReplyDelete
 2. Ukweli kabisa...huyo alomchora bi harusi piko apewe hongera zake...yani katokelezea ile mbaya...mashallah mashalla...adumu ktk ndoa yake

  ReplyDelete
 3. Da Hellen please naomba namba ya aliempaka henna please please.....

  ReplyDelete
 4. Ahsante Hellen nimewamiss nipo mbali kidogo jumamosi tupo pamoja, mmependeza sana, Abdallah mwanangu hongera sana

  ReplyDelete
 5. mashalah nimependa hinna yake

  ReplyDelete
 6. Da Hellen namba ya mchoraji plzzzzzzzzzzz

  ReplyDelete
 7. harusi imepoa mashaallah kila la kheri maharusi..,umeona eeeeh watu na fani zao jamani. mchoraji hongera nimekupenda bure. madam heren tunaomba namba ya mchora hina na piko.

  ReplyDelete
 8. Maryam umependeza Mashaallah M.Mungu akujaalieni muishi kwa salama na amani"AMEEN"

  ReplyDelete
 9. Hongereni sana Maharusi, mmpendeza sana na In Sha Alla idumu ndoa yenu, M.Mungu(SWT) awabariki na awape watoto wema, wafuate maadili ya Kiislam, wawapende wazazi wao na kuwaheshimu sana pamoja na jamii. Ameen Allahumma Ameen!!
  Shangazi!!! UK

  ReplyDelete
 10. Mashallah mwanangu Maryam umependeza sana tu wewe pamoja na mumeo. Tunakutakieni kila la kheri maishani mwenu In Shaa Allah. Twambuomba Mola awajaalie muishi kwa salama ma amani
  Ashura Senga

  ReplyDelete
 11. mamuu wa kisutu primarySeptember 20, 2013 at 6:47 AM

  mashughuli huyu kaka nimesoma nae jamani siku zinaenda khaa kawa mbaba namna hiyo au namfananisha alikuwa akiitwa abdallah na dada yake alikuwa akiitwa fatuma sema sijamuona fatma kwenye picha nasubiria hizo zijazo hongera zake kweli maisha safari ndefu mara tumekuwa watu wazima jamaniii loh alikuwaga mpole mwenyewe abdallah hvhv kama kwenye picha na dada yake alikuwa mzuri huyo sijui abadilike sasa hv hongera sana bi harusi mshunaa kwelii mungu aibariki ndoa yenu iwe ya furaha na upendo mpk mwisho wa maisha yenu....

  ReplyDelete
 12. Hongereni sana M.Mungu aidumishe ndoa yenu na awajaalie kila la kheri.

  ReplyDelete
 13. Jamani mashughuli tuambie namba ya mchoraji si unajua shughuli zimefunguliwa?! Mimi ninamdogo wangu anaolewa.

  ReplyDelete
 14. Mashaallah bi harusi kapendeza kama nini.nawatakia ndoa njema maarusi na iwe ijae baraka tele....

  Everything was good,kwanzia bi harusi hadi wageni waalikwa

  ReplyDelete
 15. mashaallah allah awabarik hongereni sana

  ReplyDelete
 16. am speechles a hellen,mmependeza mnooo mola awajalie maharusi kheri daima.nmeguswa na desgner halima khamusi na mautundu yake ya dariz katika deraa aliyoivaa.

  ReplyDelete
 17. Bi haruc mashaallah kapendeza

  ReplyDelete