RAMSA NYUMBANI KWA DA JOHA, BAADA YA AQDI YA ABDALLAH & MARYAM!!!

BAADA YA KUMALIZA KUFUNGA NDOA MIKOCHENI TULIHAMIA UPANGA NYUMBANI KWA DA JOHA SIMBA, TUKARUSHA ROHO NA GUSAGUSA MIN BAND NA NGOMA YA WARUMBA....NENDA NA PICHA

TUKIMSUBIRI MKWE WETU NA MCHELE...!!!
HUKU SALMA MNTAMBO KAWAHI KUFUNGA MLANGO AKITAKA KITOKA UNYUMBA YEYE NI BIBI YAKE ABDALLAH
SALMA AKAFUNGUA MLANGO SIJUI ALIPEWA KIASI GANI..!!
ABDALLAH & MARYAM
MAARUSI WALIKAA NA SISI KIDOGO TU, KISHA TUKAWARUHUSU WAKAPUMZIKE
GUSAGUSA MIN BAND LIVE
 WATU WALIRUSHA ROHO SI MCHEZO HAPANA CHEZEYA GUSAGUSA MIN BAND!!!
 PRINCIPLE YAKE NI ILE ILE HALIMA KAMUSI AKIGUSWA ANATUNZA
 FAUZIA BENIBELA & SHANTALLE TAHIYA KIDOLE NA JICHO
 WA MUJINI HAO WAKICHEZA
FAIZA MAFISHI AKITUNZA
 AKIIMBA KILA MTU ANASIKILIZA MASHAIRI SABABU YABAFURAHISHA
 NURU MWENE & JOHA SIMBA
 WIAM AKIMTUNZA FAIZA
 RAHMA MTENGETI NAYE AKAGUSWA
 KILA MTU......
 SAADA BRAZAK AKIRUSHA ROHO
 HAPANA CHEZEYA BI SAADA

HASINA MOO MUKE YA AWADH, HAPANA CHEZEYAAA
NGOMA YA WARUMBA
BI MWANAHAMIS CHAMUGANDA AKIWATUNZA JOHA & FATMA
 NYUSO
HALIMA, KHADIJA SHETA & FRIEND
MIRIAM AZIZ & BINTI YAKE
 WIAM, FATHIYA, MARIAM, HAFIDHU & FRIEND
 SHANTALLE TAHIYA & SHOSTITO
 SALAMA & SHARRIFA
 MARIAM & REHEMA SUNDAY
MASIKA & FRIENDS
 MARIAM TWAHIR-UTUNDU JIKONI
 ROSE, KHADIJA & MIRIAM
 KHADIJA FARAJ & WIFI  YAKE
 SHUMU NA WIFI ZAKE
 SAADA & SHARRIFA
 MARIAM, SAMEERA, KHADIJA & SHARIFA
 FAIZA & DA HANIA
 ALHANISA SLEYUM ZAYUN WA BASMAT
 NURU MWENE
 MARIAM MKWECHE NA WIFI YAKE ZAITUN
 HIDAYA MCHOWELA & KHADIJA SHETA
 RAYA, SALMA & FRIEND
 HALIMA KAMUSI DRESS DESIGN BY HK's COLLECTION
 MAMA YA MITO KATTE
  SISTERZ FOREVER FARIDA & RAHMA MTENGETI
 BILAL & SAMEERA
 HASINA, HAFIDHU & RAYA
HERRY PACO DECOR & SAMEERA & HASINA
SAMEERA & SABRINA
JOHA & FATMA SIMBA NA MAARUSI
MARIAM, SALMA & MAARUS
FARIDA, HELLEN, AISHA & ROSE
RED CARPETPost a Comment

3 Comments

  1. Bint wa dadake Miriam Azizi,Nayla Kalembo mashaalah u mrembo,jicho hilo..salam kwa mama Santa KAlembo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umeona dau eeeh yani hapo naona kila nikiangalia picha narudi kwa Nayla na aunt yake.Yote tisa kumi Dellah acha kuna watu wameumbwa mashallah na wenyewe wanajijua.Yani hao ni mwisho

      Delete