TAMASHA LA MWANAMKE JITAMBUE!!!

 ZIKIWA ZIMEBAKI SIKU TAKRIBAN SABA (7) KUELEKEA TAMASHA LA MWANAMKE JITAMBUE, ISHA MASHAUZI A.K.A WOMEN PRESIDER , YEYE NA BENDI YAKE YA MASHAUZI CLASSIC NDIO WATAKAHUSIKA  KUTUPA RAHA, HUKU TUNAPATA MBINU MPYA ZA MAMBO MENGI YANAYOTUHUSI, TOKA KWA WATOA MADA WAKUBWA PIA TUNAJIRUSHA, ISHA YEYE MWENYEWE NI MFANO MZURI WA MWANAMKE MJASIRIAMALI, WAHI TIKETI YAKO MAPEMO KABLA HAZIJAISHA...!!!
TAREHE:: 08/09/2013
UKUMBI:: KUALA LUMPA SINZA KWA REMMY-FULL AC
MUDA:: 5:00 ASUBUHI
KIINGILIO:: 30000/=
MAWASILIANO:: +255 655 999 500\0713 375 313
NEW HAIRSTYLE!!! PENDEZA EEH!!!

Post a Comment

2 Comments

  1. mbona shughuli ya Husna pale waterfront hutoi kwenye blog yako jamani?????

    ReplyDelete
  2. da hellen mbona hutuwekei kitchen party ya husna pale water front juzi jumapili?plz tuwekee bwana.umetutega tu na hiyo picha moja ya isha mashauzi.

    ReplyDelete