TAMASHA LA MWANAMKE JITAMBUE!!!

TAMASHA LA MWANAMKE JITAMBUE LAFANYIKA JANA KATIKA UKUMBI WA KUALA LUMPA SINZA. WANAWAKE TUKIPATA FURSA YA KWENDA KWENYE MATAMASHA KAMA HAYA TUSIACHE KWANI YANA FAIDA SANA, TAMASHA HILO LILIANDALIWA KUMSAIDIA MWANAMKE KATIKA MAMBO MBALIMBALI, MIMI NIKIWA MMOJA WA WASHIRIKI NILIONDOKA NA VITU VINGI SANA...!!!, ZAMA NDANI KUJIONEA MAMBO YALIVYOKUWA
SECKY MAGANGA MMOJA WA WAANDAZI WA TAMASHA LA MWANAMKE JITAMBUE AKIWAKARIBISHA WASHIRIKI NA KUWAELEZA NIA NA MADHUMUNI YA TAMASHA HILO KWA MWANAMKE
MC
MC LUCY
DECOR
SECRETS LINGERIE-MAIN SPONSOR OF THE EVENT
PRODUCTS ZINAZOPATIKANA NDANI YA DUKA LA SECRETS LINGERIE
WASHIRIKI WAKINUNUA BIDHAA.....!!!
CHEZA
WASHIRIKI WALIANZA KWA KUPASHA VIUNGO JOTO NA KUCHANGAMSHA AKILI KWA KUCHEZA KWAITO
WATOA MADA
MMOJA WA WATOA MADA PAUL MASHAURI
PAUL, BAADA YA UTAMBULISHO WAKE KWETU, ALIWAPA WASHIRIKI NAFASI WASHIRIKI WA TAMASHA KUSEMA KILE WALICHOTEGEMEA TOKA KWAKE...!!!
WASHIRIKI WA SEMINA WAKIULIZA MASWALI
MGENI RASMI
 DR. MHEHE
NYUSO
SECKY MAGANGA
HOPE NYANGE
UKAFIKA MUDA WA CHAKULA CHA MCHANA
WADHAMINI WA TAMASHA LA MWANAMKE JITAMBUE
DIRECTOR WA SECRETS LINGERIE AKITOA SHUKURANI NA KUELEZEA PRODUCTS GANI ZINAPATIKANA DUKANI KWAO 
SECKY MAGANGA MMOJA WA WAANDAJI WA TAMASHA LA MWANAMKE JITAMBUE, AKITOA SHUKURANI KWA NIABA YA DARLICIOUS SALOON AMBAO HAWAKUWEZA KUSHIRIKI KATIKA TAMASHA
RED CARPET
SECKY MAGANGA
DALINEVA MMOJA WA WAANDAAJI WA TAMASHA LA MWANAMKE JITAMBUE
SECKY & HOPE NYANGE, MTOA MADA
SECKY DALINEVA WAANDAJI WA TAMASHA WAKIWA PAUL MASHAURI
SECKY, PAUL & DALINEVA


Post a Comment

2 Comments

  1. wanawake tunaweza kweli, si utani.

    ReplyDelete
  2. Nimewapenda wanawake wote wamependeza, ni wazuri kweli, hamna aliye na Mkorogo. hebu waangalie wanavyo vutia. Kina dada Maintain please! mu warembo wa ukweli.

    ReplyDelete