UZINDUZI WA FILAMU "FOOLISH AGE" @ MLIMANI CITY!!!

MSANII wa filamu Elizabeth Michael ambae alizindua filamu yake ya Foolish Age juzi amewashukuru watu waliojitikeza, Lulu huku akiwa amedhaminiwa na kampuni mbalimbali katika uzinduzi huo alijiachia na msanii lady jaydee kwa kuimba nae kwenye jukwaa huku akijiachia zaidi kwenye wimbo wa Yahaya.
Ni Lulu huyu huyu ambae miaka michache iliyopit aalichukuliwa kama msanii wa kawaida lakini kwa sasa anaheshimika kama msanii mkubwa amabe amefanya makubwa mengi katika filamu.
Huku akiwa anasimamiwa na kampuni ya Proin Promotion Limited inayomilikiwa na Johansen Lukaza Lulu amefanya kazi kubwa kwa kuonesha kuwa sanaa ni bidhaa inayotakiwa kuwekezwa.
Lulu akiwa kama mwigizaji mkuu katika filamu hiyo alionesha maana halisi ya sanaa hasa pale anapouvaa uhusika kama mwanamke ambae amepatwa na majanga katika umri wake mdogo.
"Najua katika hii Foolish Age nimewagusa akina dada na wakaka ambao wanafanya mambo wasiyojua hasara zake za baadae na hapo ndipo nawaeleza kuwa wanachofanya ni ujinga na wasiendekeze" alisema Lulu

 LULU AKISHUKA GARINI
 HOTLULU!!!
MOVIE COVER HII HAPA....!!!!
WEMA AKIMTUNZA MAMA KANUMBA
RED CARPET
LULU

MADAME WEMA SEPATU
 JACKLINE  WOLPER
 SALMA - TV PRESENTER
KAJALA-ACTRESS
DECOR


Post a Comment

5 Comments

 1. lulu umewezaaaaa. hongera sana dogo. Mungu akusaidie akusahaulishe kabisa magumu ulopitia.Ns umche mungu sana usiache. nitakuunga mkono kwa kununua filam yko.

  ReplyDelete
 2. ahsante madam mama shughul kwa ppicha ingawaje ni tamu sana lakini mbona umetuwekea kidogo duuuuuuuuuuuuuuuh umenikatisha utamu ilo red kapet lingekua refuuuuuuuuuuuuuuuuu.

  ReplyDelete
 3. Ni kweli, yaani Mungu anaweza Yote, hii inatia Moyo sana. Lulu uwe na hekima na pia huu ni wakati wa kuwa mwangalifu sana haswa kwenye mahusiano ya kipapenzi, wengi watakutamani sasa. Uwe mwangalifu na umche sana Mungu. I will buy your movie.....Love you sana

  ReplyDelete
 4. Madame Wema Sepetu huwa nakupenda sana ila safari hii umeniangusha dada yangu mvuto wako umeundergrade ila lulu uko juu mamie yaliyopita si ndwele tugange yajayo tulia mama your so cute

  ReplyDelete

 5. Wema ni mrembo mdogo wangu, lakini kama utaweza don't koroga 'mkorogo' acha dada, halafu kama utaweza punguza make-ups. fanya kiasi tu, wewe ni mzuri, una rangi nzuri sana, ona sasa mpaka umepata body stretch ambazo ki-ukweli hukustahili na umri, wako na rangi yako dear.

  Hebu muangalie Lulu ambae haku overdo ona alivyopendeza.

  Nakuomba tu please, hebu chukua zile picha zile ulizokuwa na akina Bibi Bomba wakati wa Ramadhani you looked very natural na ulipendeza,sina maana you should'nt make-up. but kiasi my dear, unapoteza hata sura yako na mvuto wako.

  Nakuomba tu.

  ReplyDelete