WEDDING DINNER PARTY NASSORO & RAHMA!!!

BRIDE                     ::RAHMA
GROOM                  ::NASSORO
EVENT                    ::RECEPTION DINNER PARTY
VENUE                    ::ILALA
COLOR                   ::RED & WHITE
ENTERTAINMENT::KHALEED KINANDA LIVE
MC                           ::JAMILA KITMTIM
CATERER               :: SHERRY CATERER - +255 713 442 022
HII ILIKUWA DINNER PARTY YA FAMILIA PAMOJA NA MAARUSI, SHEREHE AMBAYO ILIFANYWA NA DADA WA BWANA ARUSI SHARIFFA KAVU & SAADA, SHUGHULI ILIKUWA  SIMPLE NA YA KUPENDEZA, HAPANA CHEZEYA 'BUSINESS WOMEN' MADADA WA UKWEE WAFANYA PAMBE KWA AJILI YA KAKA YAO NASSORO, MIE NAONA HAPA TUJIFUNZE EEH!! SIO LAZIMA UALIKE UMATI USHINDWE KUWALISHA, WATU WACHACHE NA MAMBO SHWARI....!!!!

MAARUSI WAKIINGIA UKUMBINI NA WAPAMBE WAO
ALIANZA KUINGIA MATRON NA BEST MAN KWA MADOIDO HUKU BEST MAN AKIWA KABEBA KOTI LA BWANA ARUSI
AKAFUATUATIA BI ARUSI RAHMA AKISINDIKIZWA NA WANAKAMATI
BI ARUSI RAHMA AKIMPOKEA MUME WAKE NA KUMVISHA KOTI
KISHA WAKAINGIA PAMOJA
MC JAMILA KITMTIM AKILIVURUMISHA KAMA KAWAIDA YAKE, UKITAKA KUMPATA JAMILA KWENYE SHUGHULI YAKO MPIGIE +255 655 374 440

NASSOR & RAHMA WAKITOA UTAMBULISHO WA FAMILIA ZAO
DECOR.....!!!
PETE
NASSOR & RAHMA WALIANZA KWANZA KVISHANA PETE, NDIO MAMBO MENGINE YAKAENDELEA
CAKE
WANAKAMATI WAKIPOKEA KEKI YAO
WANAKAMATI WAKIFURAIA KEKI YAO
WATOTO WA MUJINI NA MAJINA YANAFAHAMIKA
SAMMY DIVA AKIFUNGUA CHAMPAGNE
CHEEERS!!!
INJINI YA JIJI SALMA MNTAMBO AKIGONGA GLASS
MARIAM MNTAMBO AKIGONGA GLASS
SHARRIFA AKIGONGA GLASS NA MAARUSI
HUSNA MADOHORA
DADA YAKE NASSORO SAADA AKIGONGA GLASS
MKONO WA PONGEZI
WANAKAMATI NDIO WALIOANZA KUTOA MKONO WA PONGEZI KWA MAARUSI
WANAKAMATI NA MAARUSI
SHARRIFA MWENYEKITI WA KAMATI AKISEMA  ZAWADI YA WANAKAMATI NI FRIDGE DOUBLE DOOR SUMSUNG, HAPANA CHEZEYA BUSINESS WOMEN
MAARUSI NASSORO & RAHMA WAKITOA SHUKRAN ZAO KWA WANAKAMATI, ESPECIALLY DADA YAKE SHARRIFA & SAADA, PIA BWANA NASSORO NA MKEWE WALIWATAYARISHIA ZAWADI KWA AJILI YA WANAKAMATI
MRS. NASSORO AKIGAWA ZAWADI KWA WANAKAMTI
MADADA NA WANAKAMATI WAKICHEZA KWA FURAHA NA ZAWADI ZAO
CHEZA
KINANDA LIVE
WAKIYARUDI OLD IS GOLD
SHARRIFA KAVU AKIWA NA FURAHA TELE
SAADA AKICHEZA NA WIFI YAKE
KWAITO KAMA KAWA
CHAKULA!!!
MWANAMKE UTUNDU JIKONI HUYO CATERER SHERRY 
NYUSO
SHARRIFA, NIMO & SAADA-SISTERS FOREVER
SAMEERA, SALMA MNTAMBO & BAHI
SHARIFA & NIMO
WANA WA KARIAKOO
SAADA & MARIAM
SHARRIFA KAVU DADA WA BWANA ARUSI
ZAKIA BARKAT & SHOSTITO
HAPPY BAGHDELA & SAMMY DIVA-MTU NA MWARI WAKE
KHADIJA ROZELLA & SHOSTITO
MWANAISHA MASSANGA & FRIEND
FARIDA & FRIEND
BAI & MARIAM
INJINI YA JIJI, SALMA MNTAMBO
BEST FRIENDS SAADA & ZAKIA
TABU & FRIENDS
SALMA MNTAMBO & KHADIJA 
NIMO & MARIAM
HIGH TABLE YA MAMA MANTAMBO
MEZA YA MASHOSTITOS
FARIDA TOM NA DADA YAKE
RED CARPET
SAADA 
SAMMY DIVA
MARIAM MNTAMBO
ZAKIA MUKE YA BARKAT
TABU MABOBISHI
SHARRIFA KAVU & NIMO
MARIAM, SAMEERA & NIMO
MARIAM, SAADA & SHARRIFA
SISTERZ FORVEVER
SALMA MNTAMBO & KHADIJA
ZAKIA & SAADA
HUSNA MADOHORA & SAADA
TABU MABOBISHI
SWAGAPost a Comment

7 Comments

 1. Haina ulazima wa kuweka picha nyingiiiii na hasa nyingine zinajirudia rudia,picha chache zilizopendeza zinatosha!picha ya mtu unairudia hata mara 3,polepole tutawekana sawa tu

  ReplyDelete
 2. madini kayavaa ila hizo chunusi sasa huruma pole mwaya acha kutumia mafuta hayo unayotumia kuna mbibi wa kiarabu anakaa maeneo ya fire ukishuka kushoto kwako kufuata barabara inayoshuka chini huwa anaunga fulani mzuri wa usoni unachanganya na maziwa unapaka uso wako unakuwa soft jaribu hiyo mtafute ukiulizia maeneo ya fire unaweza kumpata

  ReplyDelete
 3. ukishuka kushoto ukitokea magomeni au kariakoo?

  ReplyDelete
 4. Ukitoka Magomeni kushoto si Muhimbili/Upanda jamani? hebu soma ramani tu dada.

  ReplyDelete
 5. Harus imepndeza maashallah

  ReplyDelete