ABAS BAG PARTY!!!

GROOM                  ::ABAS SHARIFF
EVENT                    ::BAG PARTY
VENUE                    ::TRAVENTINE
COLOR                   ::GOLD & PINK, GREEN & BLUE
MC                           ::ZUBEDA
CAKE                       ::HAYAT MIR SWEET CORNER
NI FURAHA KWA KILA MZAZI WAKATI KIJANA ANAPOAMUA JAMBO LA BUSARA KUANZA MAISHA MAPYA BAADA YA KUMALIZA YALE YOTE MUHIMU YANAYOHITAJIKA, FURAHA HII ILIKUWA KWA WAZAZI WA ABAS SHARIFF NDIPO WAKAAMUA KUMFANYIA BAG PARTY KUONYESHA FURAHA YAO KWA ABAS, ABAS NI MTOTO WA KWANZA KATIKA FAMILIA YA HASSAN & FATMA SHARIFF, BAADA YA KUMALIZA MASOMO YAKE UDSM NA KUFANYA KAZI NDIPO ALIPOAMUA KUOA, IKIWA NDIO MWANZO WA SHUGHULI TUNAANZA NA BAG PARTY YA ABAS
MAMA MZAZI WA ABAS AKIINGIA UKUMBINI
ABAS SHARIFF

ABASI NA MPAMBE WAKE
  DECOR.....
ZAWADEE
ZAWADEE ZA MAMA HAZIKULETWA UKUMBINI KUEPUKA USUMBUFU 
MC
MC ZUBEDA
ABAS AKIITAMBULISHA FAMILIA YAKE
BWANA ABAS AKIFICHULIWA
UKISHAINGIA UKUMBINI SHURTI UFICHULIWE
CAKE
BWANA ABAS NI SHABIKI WA ARSENAL
ABAS AKIMLISHA BABA, MZEE HASSAN SHARIFF KATIBU WA CCM WILAYA YA KIBAHA VIJIJINI
FATMA SHARIFF MAMA MZAZI WA ABAS AKIPATA KEKI
BIG HUG TO MAMA
 CHAMPAGNE
MR & MRS SHARIFF WAKIGONGA GLASS NA MWANAO
BABA AKIONGEA NA MWANAYE
 ZAWADEE
ALIANZA MAMA KUPELEKA SANDUKU
WAALIKWA WALIWEKA ZAWADI ZAO MOJA KWA MOJA KWENYE SANDUKU
FATMA SHARIFF AKIMTUNZA MAMA
BABA NAYE ALIFTWA JASHO
BWANA ABAS AKIKABIDHIWA FRIDGE YAKE
FATMA SHARIFF AKIFUTWA JASHO
ISHA AKIIMBA WAKATI WAALIKWA WANAMFTA JASHO MAMA FATMA SHARIFF
ISHA MASHAUZI AKIWAPA RAHA WAALIKWA
FATMA SHARIFF AKITUNZWA
BURUDANI
BABA NA MAMA WAKILISAKATA RUMBA

 CHAKULA
NYUSO
RED CARPET

MWANANA MANZI 


Post a Comment

2 Comments

  1. Mashallah, iwe harusi ya kheri na Baraka na Masikilizano
    Hongera sana Fatma

    ReplyDelete
  2. ISHA KAPENDEZA SANA HUYO ALIYEKUSHONEA ANAKUPATIA SANA

    ReplyDelete