ABDALLAH & MARIAM WEDDING RECEPTION!!!

BRIDE                     ::MARYAM
GROOM                  ::ABDALLAH
EVENT                    ::WEDDING RECEPTION
VENUE                    ::GOLDEN JUBILEE TOWER HALL
COLOR                   ::GOLD & GREEN
MAKEUP                 ::ASILA BRIDAL
MC                           ::KHADIJA
MUSIC                     ::RESPECT DJ's +255 324 055
CAKE                       ::HAYAT MIR SWEET CORNER +255 716 242 541
BOUQUET              ::EDNA +255 653 626 012
DECORATION        ::PACO DECOR
PLANNER               ::HELLENIC WEDDING & EVENT PLANNER
CATERER               ::TALMA CATERER (MARIAM TWAHIR)
STILL PICTURE     ::KINARA MOBILE STUDIO +255 784 429 310
VIDEO                      ::MANEKI PRODUCTION
WEDDING RECEPTION YA ABDALLAH & MARYAM OFFICIAL PICTURE TOKA KINARA MOBILE STUDIO ZIMETUFIKIA, HARUSI YAO ILIPENDEZA SANA NA KILA KITU KILIPANGWA KIKAPANGIKA, MAARUSI PAMOJA NA WAPAMBE WAO WOTE WALIPENDEZA SANA, ASANTE KWA ASILA BRIDAL KWA KUTUPENDEZESHEA MKWE WETU, ZAMA NDANI KUONA PICHA ZAO

 
 BOUQUET, EDNA ANATENGENEZA MAUA YA AINA MBALIMBALI NA KUKULETEA POPOTE ULIPO ANAPATIKANA +255 653 626 012
HAYA NI MAUA YA WANAKAMATI YAKO AINA MBILI, YA KUFUNGA MKONONI NI WANAWAKE NA KUVAA KWENYE KOTI AU SHATI NI WANAUME ANATENGENEZA EDNA +255 653 626 012
DECOR......!!!!
HAPA KAMA KAWAIDA YA PACO DECOR NAKSHI NAKSHI KIBAO!!!!
CAKE
CAKE HII ILITENGENEZWA NA HAYAT MIR SWEET CORNER, ANATENGEZA KEKI ZA AINA ZOTE KWA UJUZI MKUBWA ANAPATIKANA +255 716 242 541
MAARUSI WAKILISHANA KEKI
TULIKUWA NA SWEET CORNER, TULIAMUA VITU VITAMUTAMU ZAIDI VYA KISWAHILI KAMA VILE KASHATA ZA NAZI, JELEBI NK
MARYAM & ABDALLA WAKIJISAVIA SWEETS
BURUDANI
 LIVE BAND TAARAB HAPA MAMBO YA MWAMBAO...!!!
 KWENYE MUSIC TULIKUWA NAO RESPECT DJ's, WADAU KAZI YAO NZURI VYOMBO VIKO BOMBA WANAFIKA SHUGHULINI MUDA MUAFAKA KATIKA KUTURUSHA WAKO JUUU NAMBA ZAO ZA SIMU +255 713 324 055
MARYAM & ABDALLAH WAKAFUNGUA MZIKI

SANDUKU LA MAMA
WAZAZI JOHA & FATMA SIMBA
FARIDA SIMBA AKIPELEKA SANDUKU LAKE KWA MAARUSI
JOHA SIMBA & FATMA WAKIMPOKEA WIFI
FARIDA NA WIFI YAKE JOHA SIMBA
FARIDA SIMBA MKE WA RET. BRG SIMBA WAZIRI AKIKABIDHI SANDUKU LAKE KWA ABDALLAH & MARYAM
MAMA ASHA, MKE WA MAKAMU WA PILI WA RAISI ZANZIBAR, AKIENDA KUWATUNZA MAARUSI
KISHA AKAWAKOSHA NA DOLLAR
MH. MKE WA MAKAMU WA PILI WA RAISI ZANZIBAR AKIMKABIDHI MKE MWENZA MUME YEYE NI BIBI YAKE ABDALLAH
MH. WAZIRI SOPHIA SIMBA, JOHA & MAARUSI
WAFANYAKAZI WANZAO WAKIENDA TOA ZAWADI
WAFANYAKAZI WENZAO ABDALLAH & MARYAM WAKITOA ZAWADI
JOHA SIMBA AKIFUTWA JASHO NA MWARI WAKE ROSE EBRAHIM
CHAKULA
NYUSO
PICHA ZA WHITE CARPET COMING SOOON!!!!!


Post a Comment

10 Comments

 1. Harusi impemdeza mpaka raha!

  ReplyDelete
 2. Mashaaaaaaaaaaallah. Hii harusi ya funga mwaka. Funika mbaya mazeee. Daah. Kila la kheri maharusi mkaishi mvike vibabu na vibibi ndoa yenu iwe ya mfano. Mana mmepata harusi kubwa sana. Mariam Mtambo me penda sana wallah sijui kwa nini nikikuona nafurah na roho yangu. ingawa sikujui. Inshaallah ipo siku nitakuona nitakwambia live. Madam Hellen pendeza sana.

  ReplyDelete
 3. PICHA VUNIKA MDOMO QUALITY YA HAJA. HUCHOKI KUTAZAMA. NASUBIRI HIYO WHITE CARPET.

  ReplyDelete
 4. HII NI CHIBOKO, HONGERENI MAHAARUSI MKAILINDE HESHIMA YA NDOA YENU, ONA WAZAZI WAKO BWANA HARUSI ALIVYOFURAHI.

  ReplyDelete
 5. mimi naona kuna haja sasa ya kuwatumia hawa wedding planner kwa maana kila kitu kimekaa sawasawa hata kama kuna kosa ni la kutafuta eeeh kinzuri chajiuza very nice wedding

  ReplyDelete
 6. Ndugu unafikiri watu hawapendi kuwatumia WEDDING PLANNER, tatizo fedha.

  ReplyDelete
 7. Katika harusi zoote katika hii blog hii hapa ndio kiboko yao.Kuanzia mapambo,the picture quality,decorations,food quality well you name it.It is at its top class.Ohhuuhhh oh well this is it.Mlinde ndoa,
  wazazi wenu wote pande zote mbili,they are so civilized,respectful and they are going to be there for you.

  ReplyDelete
 8. SUPERB!!!!!!!!!! NIMEISHIWA MANENO YA KUSEMA. MAASHALLAH!!!

  ReplyDelete
 9. Hii ni ya aina yake kwa kwetu hapa, HONGERENI Saana, mmpendeza, waalikuwa safi, hawana mamikorogo, hata kama ipo ya wastan.
  Ila sare nayo sio ya kitoto. KILA LA KHEIR.

  ReplyDelete