HAIKA's KITCHEN PARTY

 • BRIDE                     ::HAIKA
 • EVENT                    ::KITCHEN PARTY
 • VENUE                    ::NADDS HALL
 • COLOR                   ::HOT PINK & YELLOW
 • MAKEUP                 ::GLAMBOX
 • MC                           ::LUCKY- +255 715 551 400
 • DRESS                    ::MUSA MORROCO
 HAIKA BI ARUSI MTARAJIWA MREEEEFU, KAPENDEZA SANA NA NGUO RANGI YA NJANO ILIYOPAMBWA NA NAKSHI ZA HOT PINK, ACCESSORIES ZAKE CHACHE NA MAKEUP YA UKWEE'E TOKA GLAMBOX, SARE ZA WAALIKWA PENDEZA SANA TU, MC LUCKY ALIONGOZA SHUGHULI KWA UJUZI, WATU WALICHEZA NA KUNYWA HIYO NDIO RAHA YA SHEREHE, MAMBO HAYA YOTE YALIKUWA HAPO NADDS.....!!!

 
 
 
 
 HAIKA NA MAIDS WAKE EUNICE & NEEMA
 MC 
LUCKY
HAIKA ALIANZA KWA KUSALI KWANZA
HAIKA AKITOA UTAMBULISHO WA FAMILIA
DECORATION
 ZAWADEE
CAKE
 HAIKA AKIKATA KEKI
 KWANZA ALIJILISHA MWENYEWE!!!
 EUNICE & NEEMA WAKILISHWA KEKI NA BI ARUSI WAO
 MAMA AKIPATA KEKI YA UPENDO
 AIKA AKIMLISHA KEKI MMOJA WA DADA ZAKE
WANAKAMATI NA KEKI YAO
CHAMPAGNE
SANURA AKISHUGHULIKA KWENYE SHUGHULI YA SHOGAYE
HAIKA AKIGONGA GLASS NA MAMA
BURUDANI
DJ DUME AKIWAARUSHA WATU KWA SANA...!!!
ZAWADEE
ZAWADI YA KWANZA ILIKUWA NI SPECIAL, ISABELLA ALIMWIMBIA AIKA NYIMBO YA KILINGALA...!!!!
CLARA AKIENDA MTUNZA ISABELLA
HAIKA ALIANZA KWA KUWAPA ZAWADI DADA ZAKE NA MAMA!!!
AKAMVISHA NA SANDALZ
HAIKA AKIMTUNZA MAMA YAKE DOLLAR KWA POUND
MAMA NA WATOTO WAKE BAADA YA KUPEWA ZAWADI NA AIKA
MAMA AKIFUTWA JASHO
MAMA AKITUNZWA NA MABINTI ZAKE
KAMATI IKIONGOZWA NA M/KITI CLARA MMARI WAKIENDA KABIDHI ZAWADI ZAO
ALIANZA KUMKABIDHI FRIDGE
M/KITI WA KAMATI CLARA MMARI AKIKABIDHI VYOMBO VYA JIKONI, ALIMWAMBIA NA GLASS ZA WINE TUMEKUKABIDHI.....!!!
SANDUKU LA MAMA
MAMA AKIMKABIDHI AIKA KITANDA
BIG HUG TO MAMA
DADA WAKIKABIDHI KABATI LA NGUO
DADA ZAKE CLARA WAKIKABIDHI ZAWADI WA SOFA
KINAMAMA WA VIKOBA WAKIKABIDHI DRESSING TABLE
WIFIS FAMILIA YA USIKU WAKIMTUNZA WIFI YAO
WAFANYAKAZI WENZAKE AIKA WAKIENDA KABIDHI COOKER
SANURA SHOSTI WA UKWEE WA AIKA NA FAMILIA WAKIPELEKA ZAWADEE
ULITAMBAJE SANURA BI ARUSI WANGU
KINAMAMA TOKA K.K.K.T WAKIPELEKA ZAWADEE
MARAFIKI WA CLARA WA CHUO WAKIPELEKA ZAWADEE
"THE FAMILY THAT PRAYS TOGETHER STAYS TOGETHER"
MASHOSTITO WAKIJIMWAGA KWENYE CARPET WALILOMZAWADIA AIKA
MAMA AKIPELEKA KAPU LAKE...!!!
MAMA MZAZI WA AIKA AKITOA SHUKURANI KWA WAALIKWA
CHAKULA
NYUSO
ISABELLA & CLARA MMARI
CLARA AKIWA NA MABINTI ZAKE WAWILI & AIKA
SISTERZ
 
SANURA & SHSOSTITOS
CLARA & FRIEND
MARIAM

RED CARPET
SWAGGAPost a Comment

6 Comments

 1. BWANA TUACHE MCHEZO BLACK IS BEAUTY ANGALIA HAPA HAKUNA KINA CARO MTOTO WA LIGHT
  MEKAKU,MIKOROGO WA WAZAIRE WAKO MWAAH NIMEWAPENDAJE ,LAZMA FAMILIA ZAO NI ZA WASOMI HESHIMA,DINI NA MAADILI ,MUNGU AIBARIKI NDOA YAKO .

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ni kweli mdau,Familia anayoenda kuolewa bi harusi ni wasomi na wasabato haswaaaaa,bi harusi jiandae i guess ndoa itafungwa ILALA SDA church maana ndo anaposali Mama wa Bwana harusi na ndo makazi yalipo,;nimefurahi sana kuwaona Nancy n Neema Usiku,mawifi wa Aika..Umeenda familia nzuri,mama mkwe mpoleeeeeee hana maneno mama wa watu..wifi karibu Musoma hiyooooooooooooooooo;chezea wajaluo ww

   Delete
 2. Bi harusi natural safi sana. Ila bado nasema Glambox hamna mchanaji nywele mzuri. Jitahidini bwana. Make up zenu nazifurahia ila nywele mna style ya aina moja. Ina chosha jamani

  ReplyDelete
 3. Bi harusi tall balaa, nimependa umbo lake sana sana...shepu, urefu yaani achatu...hongera sana and all the best

  ReplyDelete
 4. Madiniiiiii Mkiti mtaji huo, pendeza sanaaaa my sis clara always uko juuuuuuu, 2015 viti maalumu tunakupa kura

  ReplyDelete