ALMAR NAJMA KITCHEN PARTY!!!

BRIDE                     ::ALMAR NAJMA MAGANGA
EVENT                    ::KITCHEN PARTY
VENUE                    ::MAKUMBUSHO YA TAIFA GARDENS
COLOR                   ::KENTE COLOURS
MAKEUP                 ::ASILA BRIDAL PACKAGE
MC                           ::ANGELA BONDO
CAKE                       ::SPECIAL OCCASION (MONIKA MAKUNDI)
DECORATION        ::SPECIAL OCCASION (MONIKA)
CATERER               ::DOGLAS 
STILL PICTURE     ::HAMIS's PHOTO
ALMAR NAJMA 1ST BORN WA MAMA MANJULA, MUHITIMU WA DEGREE YA KWANZA SOCIAL WORK, CHUO CHA USTAWI WA JAMII, HII NDIO KITCHEN PARTY YAKE ILIYOSIMAMIWA  ODO MIRIAM AZIZ, ALMAR ALIVISHWA NA ROZELLA FASHION NA AKAPAMBWA NA ASILA BRIDAL PACKAGE, RANGI ZAKE  YELLOW, RED & BLUE, SHUGHULI YA KISTAARAB ILIYOENDA NA MUDA HAPO VIWANJA VYA MAKUMBUSHO YA TAIFA......!!!
LIKE OUR  FACEBOOK PAGE , FOLLOW MASHUGHULIBLOG ON INSTAGRAM & TWITTER

MASHALLAH!!!
MAIDS WA ALMAR NAJMA WALISAFISHA NJIA KWANZA!!!
ALMAR NAJMA ALIONGOZWA NA MAIDS ......!!!
MC
FOR ME SHE IS MY NUMBER ONE MC!, NI YULE YULE MAMA WA CHEREKO CHEREKO YA TBC1, MWANAMKE ANAWEZA KUONGOZA SHUGHULI KWA LUGHA TAKRIBAN 4 HIVI, HATA KAMA NI ITALIAN SPEAKING ANGELA ANAWEZA!!! MTEMBELEE KWENYE 
INTRO...!!!
DECOR.....!!!
DECOR ILIPAMBAWA NA SANAA ZA KIAFRIKA
ALMAR NAJMA AKIFICHULIWA
MAMA YAKE ALMAR AKIENDA MFICHUA BINTI YAKE!!!, SHANGWE LEO SHANGWE LEO NA UZAZI WANGU MWENYEWE...!!!! NAIPENDA SANA HII NYIMBO!!!
CAKE
MIRIAM!!! AIR HOSTESS, KUMBE UKIWA  UNAMSAVE MTU UNATAKIWA WEWE KUSHIKA GLASS SIO YEYE ASHIKE!!!! UMEONA EEH!!!
 SUPRISE!!!!
TULIKUWA NA SUPRISE TOKA KWA MIRIAM
SIKU HIYO PIA NI BIRTHDAY YA MUME WA MIRIAM, KAPTEN AZIZ, SO MIRIAM ALIANDAA CAKE SPECIAL KWA AJILI YA MUMEWE KIPENZI KUMTAKIA MAISHA MEMA NA YENYE AFYA...!! DADA YAKE KAPTEN AZIZ, FAIZA ALIKUWEPO KUSHUHUDIA HAYO
MIRIAM & HUBBY!!!
FAIZA & MIRIAM WALIKATA CAKE PAMOJA....!!!
WIFI ALIANZA KUMLISHA MKEWE!!!
BAADA YA HAPO WAKAGONGA GLASS!! MIRIAM NI MDADA WA MIPANGO ...!!!
MKONO WA PONGEZI KWA BI ARUSI ALMAR NAJMA
MAMA MKUBWA, MAMA KALEMBO AKIMPA HONGERA MWANAYE
A BIG WARM HUG & A LOTS OF LOVE FROM MOTHER TO DAUGHTER!!!
BIG HUG TO MAMA MDOGO MIRIAM!!!
MIRIAM NA DADA ZAKE WAKIKABIZI ZAWADI
MIRIAM, MKE WA KAPTEN AZIZ MAMA YAKE GAITAN & MAMA MDOGO WA ALMAR NAJMA AKITANGAZA ZAWADI LUKUKI AMBAZO ZILIKABIDHIWA NYUMBANI NA SIE WAALIKWA KUONA KWENYE PROJECTOR SI UNAJUA WASTAARABU!!!
WAHESHIMIWA WABUNGE WAKIMPA MKONO WA PONGEZI ALMAR BAADA YA KUKABIDHI ZAWADI ZAO!!!
WANAFUNZI WA WENZAKE ALMAR WA CHUO CHA USTAWI WA JAMII WAKIENDA MTUNZA SHOSTI WAO, SHURTI KWA FUJOOOOO!!!
SHOSTITO AKAMKABIDHI DRESSING TABLE!!!
 MAMA MZAZI WA ALMAR NAJMA AKITUNZWA!!!
 
KAPU LA MAMA
 SANDUKU LA ALMAR NAJMA 
 MAIMUNA ABEBE, SHOSTI WA MIRIAM JOGI, HAKUWEPO KWENYE SHUGHULI LAKINI KWA MAPENZI YAKE KWA MIRIAM ALIWATUMA WAWAKILISHI WAKE SHARRIFA HASHIM NA HIDAYA MCHOWELE KUMTUNZA SHOGAYE NA DADA YAKE 
MIRIAM YEYE ALITUNZWA LACE YA PINK, TOKA KWA SHOGAYE MAIMUNA ABEBE
WAKAMTUNZA MAMA MANJULA LACE ZA UKWEEE!!! HU NDIO USHOGA EEH!!!
WANAKAMATI
MWENYEKITI WA KAMATI SHARIFA KALEMBO AKITANGAZA ZAWADI YA ALMAR NAJMA BARCLAYS BANK CHEQUE TSHS, 1,000,000/=
WANAKAMATI WALIKABIDHI CHEQUE YA ONE MILLION
   ZAWADI ZA ALMAR NAJMA KWA MAMA ZAKE
CHAKULA
NYUSO
MAMA NA MWANA
MIRIAM AZIZ NA DADA YAKE KIPENZI MAMA KALEMBO
ALMAR NAJMA NA MAMA ZAKE
FAMILIA.....!!!!
WAHESHIMIWA 
MAMA NA MWANA - 
HALIMA KAMUSI & FRIENDS
MIRIAM JOGI NA DADA ZAKE!!!
MAMA MANJULA & MAMA KALEMBO SISTERZ
NAYLA, FAIZA & MIRIAM
SHARIFFA HASHIM & SALAMA
FAIZA NA WIFI ZAKE MARIAM & ASILA
SUMITRA, NANA & KURSHID

MIRIAM & WIFI YAKE FAIZA
HALIMA,
K & FRIEND
HALIMA KAMUSI & FRIENDS
FATMA & SHANI-MAMA NA MWANA
KHADIJA & FRIEND
NAYLA KALEMBO & FRIEND
FATMA SIMBA & HELLEN KAZIMOTO
RED CARPET
FAIZA ABDALLAH-MANAGING DIRECTOR WA BEAUTY POINT!!! 
  
 
SWAGGA


Post a Comment

6 Comments

 1. imependeza,mpambaji heshima kwako,make ups imetuliaaa..keki mwaaa..all in al Nimefurahiiiiii sana kumuona Mwalimu wangu Mama Kalembo,miaka mingi sana jamani but still looking gud mama..Mungu akupe maisha marefu..Nayla kalembo pendezaaaaaaaa ww,twasubir ya kwako tutachezajeeeeeeeeeeee sasa

  ReplyDelete
 2. Kwa kweli Alma umependeza sana pamoja na Farida, watu wa ustawi mpoo, mlipendezajeeeeeee! dada hadija nakuonaaaaaaa

  ReplyDelete
 3. Nimependa shughuli ilikuwa nzuri sana. Watu wa chan'ombe wote majirani wa Miriam jogi na dada zake wote wamemuitika. Almar alipokuwa mdogo alikuwa vingine kabisa na sikutegemea kama angekuwa mkubwa mkubwa hivi, nakuombea kila la kheri mwanangu mungu akujaalie upate ndoa yenye khei na baraka tele, ukaishi kwa kumpenda mtarajiwa wako na umuheshimu sana. Hellen hongera kwa kazi yako na MC Angela Bondo hongera vile vile wote nawapa Big up, kaza buti sababu mnajua kitu gani mfanyacho.

  ReplyDelete
 4. safi sana Mashallah Almar ulipendeza sana tena sana na watu walichangamka vizuri tu. Wapi somo yako hapo mbona hatujaambiwa ni nani?? Na jina la mwenyekiti nalo limekosewa maana tulikuwa tunamsikia mwingine duuu anyway shughuli ilikuwa bab kubwa hapana chezeye watu wa Chang'ombe

  ReplyDelete
 5. congrats Alma. Sherehe imependeza sanaa. Mungu aipendezeshe na familia yako milele....

  ReplyDelete
 6. welcome hom my cster inlow

  ReplyDelete