BASILA WEDDING RECEPTION, MAKEUP BY ASILA BRIDAL PACKAGE!!!

KUSOMA HUJUI, HATA PICHA HUONI? KWA NINI UNALIPA PESA KUARIBIWA?? WENGINE WANAITA CHEAP SALOON MIMI SIKUBALIANI NA HAYO MANENO UKIANGALIA BEI ZIKO SAWA NA MAKEUP ARTIST PROFESSIONAL, TUNAWALETEA PICHA MUONE LAKINI BADO.....KHA!!! MNATUKWANZA WAPIGA PICHA, HAYA MTARAJIWA HUJACHELEWA NENDA ASILA UKATOKELEZEE, ZAMA NDANI UWAONE WAJANJA WA MJINI...!!!

MAWASILIANO +255717616852LOCATION: MAGOMENI MIKUMI 


NATURAL BASILA's LOOKPost a Comment

11 Comments

 1. Dah hapana,nyinyi asila ni kiboko chinde chonde msipandishe bei,maana mwenzenu kule alipoambiwa anajua kupamba na bei kapandisha wateja ukiongea kiswahili unajibiwa vibaya sikupenda kabisa customer care,natamni kuolewa kesho BIG UP ASILA.ntakuja walau kupaka make up ya kwenda shereheni.

  ReplyDelete
  Replies
  1. TUMEKUSHTUKIAAAA HUNA LOLOTEEE

   Delete
  2. Umeshtukia nn sasa??boya kweli ww msiambiwe,Kwani uongo analima watu mi bei ya ajabu ajabu akijua kwenye Game atabaki mwenyewe,,wamekuja kina Asila mnahara fyokoo,,Asila endelea kutupamba sana.

   Delete
 2. kwani huyu Asila anapambia sh ngapi?

  ReplyDelete
  Replies
  1. wekeni hizo bei zao basi tuzilinganishe, huyo mwingine alishtukiwa na huyo asila.

   Delete
  2. Asila package zake Laki unusu mpaka Mbili kama cjakosea.

   Delete
 3. anajitahidi kwakweli ila tatizo ni uso tu ndo anaodeal nao anasahau shingo na mabega kwa wanaovaa nguo za wazi

  ReplyDelete
  Replies
  1. apakae shingo na mikono sehemu inayoonekanaHilo nimeliona haweki makeup shingon hapo napo anaharibu kazi .Ila anajua kwani hakolezi wala hadodekii

   Delete
 4. Uso na shingo zikifanana itakuwa bomba.

  ReplyDelete
 5. anapamba vizuri saaaana asante da hellen,tutaenda usikondeee....nimesikia bei zake sio mbayaaa kabisaaa zaelewekaaa

  ReplyDelete
 6. Hana bei wapendwa. Nilisha wahi kupambwa pale. Nilikua naenda kwenye sendoff. Kila mtu aliponiona alinishangaa na kuniuliza nilipofanyia makeup.

  ReplyDelete