BIFU KATI YA MWANAHAWA & HAFUA LAISHA!!!

 LILE BIFU LA MUDA MREFU KATI YA MWANAHAWA & HAFUA WAIMBAJI WAKONGWE KATIKA TASNIA YA TAARAB, LILIMALIZWA SIKU YA JUMAMOSI NA WAKURUGENZI WA GUSAGUSA MINBAND HASSAN & PHONE, NDANI YA UKUMBI WA LANGO LA JIJI AMBAO, MWANAHAWA NA HAFUA WOTE WANAIMBA NA GUSAGUSA MINBAND, WALIITWA MBELE NA KUOMBWA KUMALIZA CHUKI ZAO, NAO WALIRIDHIA NA HILO NA KUTANGAZA RASMI YAMWEKWISHA......!!!, WAPENZI WA GUSAGUSA KILA MMOJA KWA WAKATI WAKE WALIWAPOGEZA HASSAN & PHONE!!!

 WAKIONGEA KWA PAMOJA SASA YAMEKWISHA!!!
 MPENZI WA GUSAGUSA AKIWATUNZA 
 HASSINA AKIFURAI....!!!
WANASEMA WAGOMBANAO NDIO....!!!!


Post a Comment

1 Comments

  1. Mola awaongoze .Ila mwanahawa hayuko hapyyyyy kama hafua angalia picha utaona .Huu ni wakati tujifunze sie watu wazima kugombana kwa ajli ya kazi hakufai je twawafunza nini wenetu

    ReplyDelete