BONAH EDUCATION TRUST FUND YAZINDULIWA, YAANZA NA KAMPENI YA KUCHANGISHA ADA

Evance Ng'ingo (katikati) wa elimuboratanzania. blogspot.com akichangia harakati za Bohan Trust Fund za kusaidia kuwalipia ada wanafunzi wanaotakiwa kuingia sekondari mwakani, kushoto kwake ni  Bonah Kaluwa ambae ni mwasisi wa Bonah Trust Fund akionesha kufurahishwa na hatu hiyo ya Evance, Bonnah pia ni diwani wa kata ya Kipawa. Kwa zaidi tembelea blog yake ya www.elimuboratanzania.

Post a Comment

0 Comments