DIAMOND AWEKA WAZI!!!!

Kumekuwa na Uvumi na Habari nyingi sana 
Mitandaoni na Kwenye Media tofauti... kwamba mimi na Mwanadada
Wema Sepetu tuna mahusiano ya Kimapenzi, kitu
ambacho Sikweli na taarifa hizo ni za uongo.. uvumi huu ulianza kisa tu 
yeye kucomment kwenye Account yangu ya Instagram?.....

Post a Comment

7 Comments

 1. Da hellen aya mambo usitiweke humu yamekaa kitoto sana kimbea sana acha blog za ushenzi ziweke ayo.. tupe mambo ya shughuli mavazi n.k

  ReplyDelete
 2. Yaani huku hakupendezei kuweka mambo ya akina diamond na wema!

  ReplyDelete
 3. word mdau hapo juu.

  ReplyDelete
 4. hellen usiwaweke tena hawa watt wajinga sana........ tuwekee mambo ya maana acha blog za mbagala watawek huu upumbav wao

  ReplyDelete
 5. Ebu toa inaharibu mashughuli.

  ReplyDelete
 6. Both Diamond n Wema are kids once they grow up they ll be straight.

  ReplyDelete
 7. mmiliki tafadhali hii kitu huku wapitanjia hatuipendi waachie walozoea kuzogoana

  ReplyDelete