DREAMLAND HALL!!!

 DREAMLAND HALL, ni ukumbi mpya na wakisasa uliopo Mbezi Beach Darajani jijini Dar es Salaam na umejengwa maksusi kwaajili ya tafrija mbalimbali na mikutano. Ukumbi huu uliosheheni vitu vyote muhimu katika sherehe umezinduliwa hivi karibuni na sasa unakaribisha watumiaji. Wasiliana na wahusika sasa maana huna haja tena ya kufikiria wapi utafanyia tafrija yako ya Kitchen Party, Send Off, Harusi na hata tafrija nyingine mbalimbali na mikutano. MAWASILIANO:  +255 (0) 754777444, Mr. Ramadhan Ng'humbi. TAZAMA PICHA ZAIDI HAPA

Post a Comment

0 Comments