HAPPINESS KITCHEN PARTY!!!!

BRIDE                     ::HAPPINESS
EVENT                    ::KITCHEN PARTY
VENUE                    ::URAFIKI SOCIAL HALL
COLOR                   ::GOLD, BROWN & HOT PINK
MAKEUP                 ::MAZNAT
MC                           ::
ENTERTAINMENT:: RESPECT DJ's
DESIGNER             :: JASMINE 
YEEES! HII NDIO KITCHEN PARTY YA HAPPINESS, FUNIKA KWA SANA, BI ARUSI MTARAJIWA KATOKELEZEA NGUO PAMBE NA YEYE MWENYE ANACHANGIA, MAKEUP IMETULIA NI YULE MPAMBAJI MAZNAT, SARE IMESHONWA IKASHONEKA MAANA HALL NZIMA UNAHESABU WASIOSHONA INAPENDEZAJE, ZAMA NDANI UJIONEE MWENYEWE.....!!!!
LIKE OUR  FACEBOOK PAGE, FOLLOW MASHUGHULIBLOG ON INSTAGRAM & TWITTER

 MESE KOMBA MAMA MZAZI WA HAPPINESS AKIINGIA UKUMBINI
HAPPINES AKITOA UTAMBULISHO
MC
PROTOCOL ILIZINGATIWA KUTAMBUA UWEPO WA MC ADELLA
DECOR...!!!
CAKE
CAKE YA HAPPINESS NI MFANO NA SUFURIA ILIYOKO JIKONI
MAMA MKWE AKILISHWA KEKI
HAPPINESS AKIKAWAPA KEKI WANAKAMATI
THEN CHEERS
CHEZA
HAPPINESS AKICHEZA...!!
ZAWADEE
HAPPINESS ALIANZA KUMPA MAMA ZAWADEE
HUG OF TRUE LOVE!!!
HAPPINESS BAADA YA KUMTUNZA MAMA ALIMKABIDHI HII HAPA EMBU SOMA SO SWEET JAMANI...!!!
WANAKAMATI WAKIKABIDHI ZAWADI YAO, VYOMBO VYA JIKONI
MAMA AKIKABIDHI SANDUKU KWA BINTI YAKE!!!
SI UNANIONA MIMI, BASI NA WEWE JIPENDE KUNISHINDA!!!
HII NDIO KABATI YAKO NA MUME MTARAJIWA HAPPINESS
HAPPINESS KWA FURAHA AKALALIA KITANDA NA KUJIFUNIKA MASHUKA YA UKWEE'E, HAPANA CHEZEYA MAMA MESE SHUKA ZIMEKWENDA SHULE
BAADA YA KUMPA ZAWADI ZAKE, MAMA AKAMWAMBIA SASA NAKUKOSHA KWA PESA....!!! CHEZEYA PENZI LA MAMA HAKUNA KUIGA WALA KUPRETEND
NYUSO
MAMA NA MWANA
SISTERZ!!!
MWANAIDI & FRIENDS
KYDAWAH & FRIENDS
RED CARPET

SWAGGA


Post a Comment

4 Comments

 1. hii kitchen party ya ukweli na kistaarabu mno bibi harusi alipendeza mno hongereni wanakamati.

  ReplyDelete
 2. mm nimeipenda hii harus da hellen kwa sababu makeup zao watu wote zimeenda shuleee wamependeza saaanaaa,hawakujichafua sura zao kabisaaa wamejipambaa kiukweliiiiiiiii....hakuna JOHNSON POWDER

  ReplyDelete
 3. natural colour na zawad za ukweli

  ReplyDelete
 4. hongera sn bibie ulipendeza sn

  ReplyDelete