HATIMAYE MWANAUME MREFU KULIKO WOTE DUNIAN APATA MWENZA!!!

YULE MWANAUME MREFU KULIKO WOTE DUNIANI AMEPATA MWENZA WAKE, SASA SIJUI VIPIMO HIVI NA AFRIKA VILIFANYA KAZIA???, KUMBE UKIWA MREFU SANA NI TAABU KUMPATA MWENZA??

Post a Comment

2 Comments

  1. Bao Xishum anaurefu wa 236 na anaumri wa miaka 56 .ni mchina we ingia Google utamuona haya magazetya kibongo usiamini wabongo hata siku zetu za kuzaliwa hatujui . mie hiz program naziona ktk chanel ya TLC .na watu warefu wanazaliwa na matatizo ktk mfumo wa mifupa ni sawa na kansa .siumeona mtu anavimba tumbo akiwa na kansa au anatukewa na uvimbe wa ajabu sasa hawa kansa yao inakuwa ktk mifupa ndo mifupa inajitengeza zaid itakiwavyo huwa wanapata kilema na nimeona wanatokea china hata mwanamke mrefu ni mchina

    ReplyDelete
  2. huyu nı mturuki asee na ni kweli mrefu mno nilikuwa istanbul wakati wa haruc hii na ndio ilikuwa gumzo la mji.alıshında pıa guıness world record na yeye ndie zaidi ya huyu mchina kwa sasa huyu mchına anamfatia..

    ReplyDelete