JANE's KITCHEN PARTY!!!!

BRIDE                    ::JANE KATO
EVENT                    ::KITCHEN PARTY
VENUE                    ::RUSSIAN HALL - UPANGA
COLOR                   ::RED, YELLOW, SILVER & BROWN
MC                           ::ADELA
CAKE                       ::
DECOR                   ::
 NI KITCHEN PARTY YA SHOSTITO JANE KATO MLISEMA HAYAWI MBONA YAMEKUWA...., JANE MDADA WA UPANGA ALYKHAN, PENDEZA KWA SANA DEAR, VINYWAJI KAMA KAWA KATA MTI PANDA MTI, MAHANJUMATI YA UKWEE'E ZAMA NDANI....!!!
LIKE OUR  FACEBOOK PAGE , FOLLOW MASHUGHULIBLOG ON INSTAGRAM & TWITTER

UMEPENDEZAJE SHOSTI
JANE AKIINGIA UKUMBINI..!!!
MC
MC WA UKWELI ADELLA, KUTURUSHA KWAKE KAMA KAWAIDA
 INTRO...!!
JANE AKIITAMBULISHA FAMILIA
DECOR...!!!
 ZAWADEE
CAKE
KEKI YA JANE NI MFANO WA KIKAPU NA MATUNDO, SHOSTI SI UNAJUA MATUNDA MUHIMU KWA BWANA BASI USISAHAU....!!!
JANE AKIWALISHA MAMA ZAKE VIPANDE VYA KEKI KUWASHUKURU
CHAMPAGNE
BURUDANI
 BI ARUSI JANE AKIFUNGUA MZIKI NA MATRONE WAKE
 KWAITO YA JANE
ZAWADEE
 KOKUSIMA MDOGO WA PEKEE KWA JANE AKIENDA NA BINTI YAKE
 KOKUSIMA KWA FURAHA AKIMPA ZAWADE DADA YAKE!!!
 WAFANYAKAZI WA BANDARI WAKIENDA MTUNZA JANE KATO
 BI ARUSI JANE AKITUNZWA!!!!
 GETU PENDEZA EEH!!
 WAFANYAKAZI WENZAKE JANE KATO TOKA KITENGO CHA CONTAINER BANDARI TICTS
 MASHOSTITO WAKIENDA MTUNZA JANE 
 WANAKAMATI WAKIMPA HONGERA JANE NA KUTOA ZAWADEE YAO
 WANAKAMATI
CHAKULA
 MAHANJUMATI
KOKUSIMA MDOGO WAKE BI ARUSI NA BINTI YAKE
NYUSO
WAREMBO, RANGI HADIMU EEH!!
SHOSTITSIAH KISANJI & HER SISTER COLLETA
MIE HUYO NA SHOSTI WANGU
DA HINDU MFULA & FRIEND

RED CARPET
BLOUSE DESIGN BY JOHA SIMBA-+255 763 066 009
SWAGGAS


Post a Comment

5 Comments

 1. Kaz nzur sana..pics znavutia,mpangilio mzur hongera sana.' Kla la kher Jane Kato ktk maisha yko mapya.:

  ReplyDelete
 2. Hongera sana dada Jane u look fab. May God bless your marriage.

  ReplyDelete
 3. Maria goreth BuramuOctober 23, 2013 at 11:16 PM

  Hongera sana Jane., Mungu akubariki ktk ndoa yako

  ReplyDelete
 4. Hongera Jane...I just came across this blog, I recognized you right away, there is one child in one of your pics that is a replica of gabby....( lol)..It has been many years. if someone reading this note, can get a hold of Jane or the Kato family, please ask them to email me at brendan_abreu@hotmail.com...

  ReplyDelete