KIBAO KATA CHA ASHA BONGO!!

 NI KIBAO KATA CHA ASHA BONGO, KILICHOFANYA NA SOMO YAKE HAPPY BAGHDELLA HAPANA CHEZEYA KABISA WATOTO WA MUJINI, BI ARUSI KAVAA NGUO MBILI KULA NA KUNYWA USISEME, BOMBA LA BIA LA TBL LAFUNGWA MAMBO YA KUJISAVIA, HUKU BURUDANI TUNA KIBAO KATA, LIVE TAARAB BAND NA RUSHA ROHO YOTE HAYO NI MAMBO YA SOMO KWA MWARI, NDIO MAANA WANASEMA HESHIMA KWA SOMO......!!!

LIKE OUR  FACEBOOK PAGE , FOLLOW MASHUGHULIBLOG ON INSTAGRAM & TWITTER
 SWAGGA ZA ASHA
 ASHA BONGO NA NGUO YA PILI
 MWARI NA SOMO
ASHA AKIINGIA
 ASHA AKIINGIA UKUMBINI NA NGUO YA KWANZA
 SOMO HAPPY AKIMUINGIZA MWARI BAADA YA KUBADILI NGUO
DECOR....
 MC
NI YULE YULE TOTO LA KISAMBAA MC KIDE WA UKWEE'E
 BURUDANI
 KINANDA CHA KHALEED LIVE
 WADAU NINA HABARI ZA KUSIKITISHA KWA WALE AMBAO HAWAJASIKIA HAMAD YULE ALIKUWA MUUIMBAJI MKUU WA KIBAO ALIFARIKI DUNIA-INALILAH WAHINA ILAHI RAJOON NA HUYU NDIE KASHIKA NAFASI YAKE!!!!
HAPANA CHEZEYA MC KIDE SIX HEEL NA KIUNO MPAKA CHINI
 BILAL AKIIMBA SINGO YAKE
FUTA JASHO NA ZAWADI
TULIANZA NA SALMA NYANGASA
 FARIDA TOM NA KAMPANI YAKE WAKIMTUNZA ASHA
 MARIAM AKIMTUNZA ASHA
 AKAMFTA JASHO FATMA
MARIAM AKAMFUTA JASHO SOMO
 LILLY KESSY AKIMTUNZA ASHA
 WAKATI FATMA ANAMTUZA DADA YAKE, JAFFARBHAI ALIMSINDIKIZA
 FATMA AKIFUTWA JASHO
 SAADA AKIENDA MTUZA SHOSTITO
SAADA AKIMTUNZA SHOSTI
 SOMO HAPPY BAGHDELLA NA COMPANY YAKE WAKIENDA KUMTUZA MWARI
SOMO AKIMWAGA MAHELA KWA MWARI WAKE
CHAKULA

KINYWAJI
 HAPANA CHEZEYA HAPPY SOMO WA UKWEE, KULIKUWA NA BOMBA LA BAI UNAFUNGUA TU SELF SERVICE
NYUSO
 MWARI NA SOMO
HAWENA & TATU
MWARI NA SOMO
SHIDA MARZUK & SALMA
SHANTALLE WAPI PACHA LEO
 UMEWAONE EEEH WA MJINI SARE ZIMENOGAJE
 SHANI, HUSNA & SALMA
 MAMA YA UKWEE SALMA NYANGASA & SHOSTITOS
 TANT, TATU & FRIEND
 SHANTALLE TAHIYA
HUSNA & SHARRIFA KAVU SARE INOGIRE
RED CARPET
 TANT BOY
HAWA KESSY
TATU LUMELEZI
 SOPHIA
SAADA & TABU
 MC KIDE & ASHA BONGO
BEST FRIEND FOREVER!!!
 SHANI, SHARRIFA & FRIEND
TANTI BOY, YULE MDAU ALIYEMISS TANT HUYU HAPA
SAADA NASSORO
 HAPPY BAGHDELLA
 MWAJUMA SARAHANI
 FARIDA TOM
 MWAVITA
 TATU LUMELEZI
NDUGU WAPENDANAO
SHILLA & FRIEND
SWAGGA


Post a Comment

9 Comments

 1. kwenye shughuli kulikuwa na watu hao tu mbona picha zajirudia?

  ReplyDelete
 2. mmmmmm baaaaaado jamani eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hatuzitendei haki make-upsssss. hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii inasikitisha. Wanawake wazuri mno wooooote kwenye shughuli hii , lakini la kushangaza pamoja na kuumbwa wazuri, hawapendi badala yake wanajichafuachafua na mirangi.
  HONGERENI KWA SHUGHULI, KILA LA HERI

  ReplyDelete
 3. sharifa always smart fundi anakupatia sana i like it

  ReplyDelete
 4. Ebu kwendeni huko nyinyi ndio washamba raha ya haruci babuwee upake mecapu ionekanane ujitofautishe na ukiwa nyumbani sisi tupo kiafrika zaidi hakuna mzungu apo mnajiangaisha mkitudiss sie atuna habari kwetu rahaaass tu maana mekap tumewekewa kina sisi haihuuuu kuweka mekapu paka iliwe namende,eti tupake kidogo Upogo

  ReplyDelete
 5. Babu weee watu wamependeza acheni wivu huyo anaesema mekapu mbayaa utakuta hana hata pesa yakununua kamekapu ka miss rose lohhhh

  ReplyDelete
 6. wamependeza ila wamejichubua sana.

  ReplyDelete
 7. Waooo so nice wallah

  ReplyDelete
 8. Daa sharifa big up dada na group yako mmependeza mashallah

  ReplyDelete
 9. Haaaaaaaaaa its nice,

  ReplyDelete