MAGDALENA KITCHEN PARTY!!!!

BRIDE                     ::MAGDALENA MALANGILA
EVENT                    ::KITCHEN PARTY
VENUE                    ::MAWELLA HALL SINZA
COLOR                   ::KENTE COLOURS
MAKEUP                 ::MAZNAT
MC                           ::BABUJI
HAYA NI KITCHEN PARTY YA MAGDALENA, NAKUTANA TENA NA WANAKAMATI WENYE MIPANGO IKAPANGIKA NA WAO NDIO WANAONGOZA KUCHEZA, KAMATI YOTE WANAVAA SARE, SIO WENGINE NI WALE WALE WANA WA BANDARI,  AU AGENT WA BANDARINI HAPANA CHEZEA WATU WAPOMBEKA MPAKA WAZIKIAMBIA......, FOLLOW MASHUGHULIBLOG ON INSTAGRAM, LIKE OUR FACEBOOK PAGE MASHUGHULIBLOG FACEBOOK PAGE

MC
DECOR
CAKE
DADA YANGU JOYCE NDIO NAMBARI ONE
MAMA MZAZI AKILISHWA KEKI NA MWANAYE
WIFI MUHIMU
CHAMPAGNE
BWANA ARUSI AKIINGIA UKUMBINI
ZAWADI NA FUTA JASHO
KISHA NASRA AKAANZA KUTUNZWA NAFUTA JASHO
SHOSTITO NASRA
KISHA AKAMKABIDHI COOKER
 AKAKABIDHIWA ZULIA 
 MWANYAKITI WA KAMATI AKIKABIDHI VYOMBO VYA JIKONI
 MAMA AKIPELEKA SANDUKU LAKE
 PHARMACIST KARIAKOO 
MAMA NA MWANA
BURUDANI
 NYOTA ABDALLAH ALIKUWEPO KUTUPA RAHA!!!
 KIJOTI JOTI SHTUA....SAFARI HII MOSHI OYEEEEEEE!!!!
NYUSO
RED CARPET
SWAGA

Post a Comment

7 Comments

 1. Magdalena so cute na umependeza sana. Namuona mamaa wa Gere, bibie Nyota uko kichuna unazidi kung'aa kama jina lako MashaaAllah.

  ReplyDelete
 2. Jamani wadada wa mjini mbona ndio tunategemea muwe wajanja hayo mambo ya kuvaa nguo transparent na sidiria nyeupe na nyekundu wapi na wapi jamani??? ovyoo

  ReplyDelete
  Replies
  1. Haahahahaj wanashangaza kwa kweli

   Delete
 3. Wakina mama mmetisha, pendeza mnoooo, mlichangamka sana. Akina mama oyeeeeeee,kweli twawezaaaaaa. Shughuli ilinoga, akina mama wamejiachia, haikuwa ya uzungu-uzungu,kwani za hivyo huwa zinapooza, watu wanakuwa mapozi mengi, lakini hii ya bandari full uswahili, watu kucheza mwanzo-mwisho, kila mtu anafuraha. Safi sanaaaaaa

  ReplyDelete
 4. dada heleni uko juu sana ,picha saaaaaafi,ma agent wa bandari tumekufagilia sanaaaaaaa mungu akupe umri akuepushe na hasada za watu na mashetwaniiiii hongera bibi harusiiiii magdalena

  ReplyDelete
 5. Shughuli ilinoga bibi harusi mtarajiwa alitokelezea wageni waalikwa walipendeza ukumbi ulibamba Mc mzuri, mtoa mada alifunika vinywaji vya kumwaga chakula kizuri zawadi kwa mtarajiwa zimeenda shule, ama kweli Magdalena uko juuuuuu!!!!!

  ReplyDelete
 6. Harusi ilipendeza sana. Bi harusi alipendeza mno. MC ni LUCKY aka CERELAC ana salon pia Sinza. Ni MC mzuri sana kwa waliowahi kuhudguria shughuli zake watakubaliana na mimi. Namba yake ni 0715 551400 kwa anayemuhitaji.

  ReplyDelete