MAONYESHO YA WAJASIRIAMALI MNAZI MMOJA!!!

 LEO NILIKWENDA MNAZI MMOJA KWENYE MAONYESHO YA BIDHAA ZA WAJASIRIAMALI,KUMSUPPORT SHOSTI WANGU TAHIYA, YEYE NI SHANTALLE HERBS OIL, KUNA VITU VINGI KWAKE VYA UTURI, USHOGA KUUNGANA MKONO HONGERA SHOSTITO!!!
NAMBA YA SHANTALLE NI +255 652 048 512

 MIE NILIVUTIWA NA MAFUTA YA NYWELE NA UNGA WA DHAHABU AMBAO UNACHANGANYWA NA MAJI YA LIWA NI KAMA MASK YA USO UNAPAKAA KWA MUDA WA DK 15 BAADA YA HAPO USO LAINI NA NGOZI INAGAA
 SHANTALLE AKIWAHUDUMIA WATEJA
 WATU KWA FOLENI
 
 BANDA HILI WANASINDIKA KOROSHO NA JAM, PIA KUNA JUICE NZURI SANA AMBAYO MUDA SI MREFU ITAKUWA PACKING KWENYE BOX
 KWA WALE WALIOSOMA WERUWERU AU WANATAKA KWASUPPORT MATERIAL ZOTE ZINAPATIKANA MNAZI MMOJA
 GLORY GIRL PAD

Post a Comment

2 Comments

  1. DADA HELEN, HUYO DADA WA LIWA NA UNGA WA DHAHABU ANAPATIKANA BANDA NAMBA NGAPI? TUJUZE MAMA MAMA MASHUGHULI WA UKWELIIII WA KUKUPIKU HAJAZALIWA NA HATATOKEA.

    ReplyDelete
  2. je hayo mafuta ya nasidia nywele kuotesha?

    ReplyDelete