MAULID YA QADI YA ZUBEDA & ABAS!!!

MAULID YA AQDI YA ZUBEDA MAULID SHARIFF & ABAS SHARIFF, BAADA YA AQDI YAO KUFUNGWA ZANZIBAR, FAMILIA YA MUME ABAS SHARIFF WALIFANYA MAULID IKIWA NI KUWAOMBEA DUA MAARUSI HAO KATIKA MAISHA MAPYA YANAYONZA, MAULID HAYA YALIFANYIKA MAGOMENI NYUMBANI KWA BWANA ARUSI, ABAS SHARRIFF

BI ARUSI ZUBEDA
DECOR...!!!
CHUO

MAALIM
MAMA MZAZI WA BWANA ABAS FATMA SHARIFF KWA FURAHA AKIWATUZA WANA CHUO
 
 WANAFUNZI WA CHUO WAKISOMA 
 ZAINAB AKITOLEWA NJE BAADA YA QIAM


 FATMA SHARIFF AKIWA NA MKWE WAKE
FATMA SHARIFF NA MKWEWE, NA WIFI YAKE ZUBEDA
RED CARPET
ZUBEDA NA WIFI ZAKE

Post a Comment

3 Comments

  1. Shezea Fatma Shariff. Mama wa mashughuli!!!!

    ReplyDelete
  2. Mashaallah wazuri Mola ampe ndoa yenye faraja ,weusi wazuri jamani

    ReplyDelete