NEW SHOES @ CLASSIC STYLES!!!


UNYAYO MPYA NDANI  YA CLASSIC STYLES MANYANYA KINONDONI FLAT SHOES NA MAKIRIRI YA UKWEE KABISA
DUKA LIKO KINONDONI MANYANYA KARIBU NA CASABLANCA BAR, MADUKA YANAYOTAZAMA BARABARA, MAWASILIANO.: +255 655 426 100
MIKOANI: HUDUMA YA KUTUMA MZIGO INAPATIKANA, UTALIPIA KWA TIGO PESA & MPESA NA UNATUMIWA
BEI YA FLAT SHOES & MAKIRIKIRI BEI YETU NO MOJA TU 40000/=

Post a Comment

6 Comments

 1. jamani naomba kujua bei zake zina range vp mashughuli ili nije kamili viatu ni vizuri sana

  ReplyDelete
 2. BEI YA VIATU NI 40000/=

  ReplyDelete
 3. NIVIZURI MKIWEKA NA BEI ILI WTU WAJUE KAMA WANAWEZA KUNUA AU LA! ESPECIALLY WATU WA MIKOANI..

  ReplyDelete
 4. Kweli kabisa mkiweka na bei inatusaidia hata kutuma hela kwa ndugu zetu wa Dar watununulie....Kuweni wawazi kidogo..na viatu vyenu ni Bomba..hongera

  ReplyDelete
 5. This comment has been removed by the author.

  ReplyDelete
 6. Namba ya mawasiliano tukataka kuweka order tulioko mkoani

  ReplyDelete