NURDIN & ZAINAB AQDI!!!

BRIDE                     ::ZAINAB
GROOM                  ::NURDIN
EVENT                    ::AQDI
VENUE                    ::UPANGA
COLOR                   ::GOLD & BROWN
MAKEUP                 ::ASILA BRIDAL
ENTERTAINMENT::GUSAGUSA MIN BAND (LIVE) 
 AQDI YA ZAINAB & NURDIN ILIYOFANYIKA UPANGA, WADAU ZAMA NDANI TUONE MAMBO YAO....!!!

ZAINAB BI ARUSI
KAMA KAWAIDA KAZI YA MAKEUP & HAIRSTYLE NI ASILA BRIDAL, KUMSOMA ZAIDI NA WAPI ANAPATIKANA INGIA HUMU
 AQDI IKIFUNGWA
 NURDIN NA MKEWE ZAINABU WAKISAINI VYETI
 MAARUSI....
 MAARUSI WAKITOKA NJE
 
 NYUSO
 MUHAZA, HALIMA, SHARIFA & MWANAKOMBO
 KAUNDIME & FRIENDS
 SOPHIA & FRIEND

 SHANGAZI BISHARA, HAWA & MWANAKOMBO
 HALIMA & BINTI YETU SABRINA
 ODO SOPHY NA MAARUSI
 HELLEN, SOPHIA & WIFI YETU
 SALIM KIHAGO & SISTERS
 BEAUTY & FRIEND
BURUDANI
GUSAGUSA WALIOTUPA RAHA!!!
 HAPANA CHEZEYA MASHUGHULI NAYE AKAGUSWA TUPA PESA KULE
 SHUFAA KIHANGO NAYE KAGUSWA
 ODO SOPHY AKITUNZA
 HAMIDA, MUHAZA & FRIEND WAKIRUSHA ROHO
 RED CARPET

Post a Comment

2 Comments

  1. hongereni lakini bi harusi mbona kanuna jamani harusi yake nzuri angechangamka kidogo

    ReplyDelete
  2. Da hellen nawe ktk picha ya mwisho umetokelezea ile mbaya kisura kimefunguka ngar ngar dada chezeya

    ReplyDelete