OLIVER KITCHEN PARTY!!!

BRIDE                     ::OLIVER ILAKORE BUKUKU
EVENT                    ::KITCHEN PARTY
VENUE                    ::KUALA LUMUPUR SINZA
COLOR                   ::GOLD & RED
MAKEUP                 ::DIANA BEAUTY SALOON SINZA - +255 655 689 888
MC                           ::ADELLA & AMANDA
MUSIC                     ::RESPECT DJ's +255 324 055
CAKE                       ::CAKE YANGU
HAYA WADU, TEMBELEA PICHA ZA KITCHEN PARTY YA OLIVER, RANGI ZAKE NI RED & GOLD, MAKEUP YAKE IMEFANYA NA DIANA SALOON YA SINZA IMETULIA NA RED LIPSTICK OLIVER AMPENDEZA SANA...!!! ALITUONGOZA MC ADELLA NA HUKU TUKIRUSHWA BILA KUKAA NA RESPECT DJ's, SHUGHULI ILIKWENDA SAWASAWA NA RATIBA.....!!!!

 
SWAGA
OLIVER AKIINGIA UKUMBINI
 INTRO.......!!!
 KABLA YA KUTOA UTAMBULISHO OLIVER ALIWAOMBA WAALIKWA KUMKUMBUKA MAREHEMU WAZAZI WAKE.....!!! POLE
 ALIANZA KUWATAMBULISHA DADA ZAKE
MC's
TULIKUWA NA MC CHIPUKIZI AMANDA CHINI YA UONGOZI WAKE MC MZOEFU ADELLA
DECOR
 ZAWADEEE
CAKE
CAKE YA BINTI MREMBO ILIVER ILIHUSU UREMBO..!!!
WALILISHANA KEKI YEYE NA MPAMBE WAKE
CHAMPAGNE
OLIVER NA MATRON WALIHUSIKA KUFUNGUA KINYWAJI MLIPUKO
BURUDANI
 RESPECT DJ's YA ABDUL KAMANGA NDIO GUMZO JIJINI SASA!!!
 OLIVER AKICHEZA NGOMA YA KIANGAZA, UMEONA MIKONO NI KUFLY KWA SANA
 KWAITO YA BINTI MREMBO OLIVER 
ZAWADEE
AGATHA DADA YAKE OLIVER AKIONGOZA MADADA KWENDA KUTOA ZAWADI 
BIG HUG FROM SISTER!!!
AGATHA AKIKABIDHI ZAWADEE
HAPPY GIRL
WANAKAMATI WAKIKABIDHI ZAWADEE 
M\KITI AKIKABIDHI ZAWADEE KABATI NA VIOMBO VYA JIKONI
AGATHA AKIFUTWA JASHO
WALIANZA WAFANYAKAZI WENZAKE TOKA TANESCO NORTH
AGATHA BADO ANAENDELEA KUFUTWA JASHO...!!!
WANAKIKUNDI WENZAKE WA SUA, WAKIMKOSHA PESA
SHANGAZI WAKIPELEKA ZAWADI YAO KWA OLIVER
MASHOSTITOS...!!!
WAKAMKABIDHI ZAWADEE YA COOKER
WIFIS WAKITOA ZAWADEE
MARAFIKI WAKAMKOSHA MAPESA OLIVER
OLIVER AKIWAPA ZAWADEE WATU MAALUM
ALIANZA NA DADA ZAKE
KISHA AKAMTUNZA MAMA RIZIKI NA M/KITI WA KAMATI
AKAMTUNZA SHANGAZI YAKE
CHAKULA
OLIVER AKIGAWA ZAWADEE KWA WAALIKWA
 TULIJIPATIA FRAME ZA PICHA
NYUSO
 MAMA MKWE
RADE & OLIVER
RED CARPET
SWAGAPost a Comment

13 Comments

 1. Hongera Oliver ulipendeza sanaaaaa. Dada zangu Teddy,Mchome, Edda masha allah mmependeza sanaaaaaaaaa.

  ReplyDelete
 2. Yani huyu dada kanifurahisha sana amejua umbo lake na amevaa kuendana nalo, amependeza sana waalikwa na wenye shughuli nao yani hadi raha,simple classy na wamejisitiri yani wamependeza hasaaaa!

  ReplyDelete
 3. Wouh!!!!!!!!! kitchen party ilikuwa simple, nzuri, tuliburudika mbayaaaaaaaa!!!! Igeni mfano wa kitchen party ya Oliver. Thanks mama Imani kwa kutupa raha kwenye kitchen party ya mdogowako Oliver.

  ReplyDelete
 4. Niceeeee. Everythng on pointttt

  ReplyDelete
 5. watu walipendeza sana ila kama vitenge vimekuwa vya aina tofauti tofauti vingi sana mpaka vinachanganya, inakuwa kama uchafu!

  ReplyDelete
 6. Mmetokelezeajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

  ReplyDelete
 7. Kiukweli mmependeza sana nimeipenda make up ya bi harusi pamoja na mpambe wake rangi zao no karolight pia nimependa waaliwa wamevaa kiheshima sanaaa utafikiri aliwapanga hadi raha na waalikwa make up zao wote kwa kweli zimetulia mno zimeendana na rangi zao.Kiukweli huwa sipendi make up za kiuwendawazimu na mishedo mtu anajisiliba mirangi karibu mitano hahahahahahaha kama nimekukwaza niswamee bure.

  ReplyDelete
 8. nimefurahishwa sana na Oliver amevaa kiheshima hata familia ya waowaji wakimuona wanaona kweli tumepata mama. ubarkiwe sana Oliver. dada yangu Zeralucy (mwenyekiti) na wafanyakazi wenzake mmetokeleaje.

  ReplyDelete
 9. shikamoo dada oliver mmependeza sana nimependeza sana mmetokelezaaje.mimi glory i love you.

  ReplyDelete
 10. so lovely ilakoze ulipendeza sana sharing heart ndani ya nyumba tulibambaje? mashughuli kama kawa ndani ya shughuli...

  ReplyDelete
 11. Simfahamu mwenye shughuli hii lkn napenda nichukue fursa kumpongeza sana yye na familia yake. shughuli inaonyesha ni ya ki staarabu na ustaarabu unatokana na watu ikianzia zaidi katika ngazi ya familia. hongera sana oliver, hongera familia, hongera washiriki wote mmependeza na hasa zaidi mnaonekana wastaarabu. Bg up all
  !!!!!

  ReplyDelete
 12. Nguo yake nzuri alijijulia kabisa na umbo lake kapendeza sana.

  ReplyDelete