SALMA BIRTHDAY PARTY!!!

  NI SALMA MUTOTO YA MAGOMENI, YEYE NI MPENZI WA GUSAGUSA MINBAND, ALIAMUA KUSHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA NDANI UKUMBI WA LANGO LA JIJI HUKU GUSAGUSA WAKIMWIMBIA LIVE HAPPY BIRTHDAY,  WAKUREGENZI WA GUSAGUSA MINBAND HASSAN FAROOQ & PHONE WALIKATA KEKI NA KUMLISHA SALMA!!!! ZAMA NDANI UJIONEE MWENYEWE.....!!!

 MKUREGENZI WA GUSAGUSA MINBAND HASSAN FAROOQ AKIMLISHA SALMA KEKI
 MKUREGENZI WA GUSAGUSA MINBAND PHONE AKIMLISHA SALMA KEKI
 RAYA NA SALMA WAKILISHANA KEKI, RAYA NI DADA YAKE SALMA 
 HASINA MOO RAFIKI WA RAYA AKIMLISHA MDOGO WAKE SALMA KEKI
 RAYA, SALMA & HASINA
 ZUHURA AKILISHWA KEKI NA SALMA
 AMINA AMOUR NA SHOSTI WAKE WAKILISHWA KEKI
 MOO CHAKA WA UKWEE AKILISHWA KEKI
 MC MUU NAYE ALIPATA KEKI
 FATHIYA AKIMLISHA KEKI SALMA
 
WAKIRUSHA ROHO
 ABDUL MISAMBANO AKIIMBA

 TAARB MWENZIO KUTUZA KAMA HUWEZI USIENDE!!!
BIRTHDAY GAL AKIENDA TUZA NYIMBO ALIYOOMBA
 MOO CHAKA AKIMTUZA HASINA
 HASINA, RAYA & AMINA
 NYUSO
 BWANA AMIR & SALMA
 
 

Post a Comment

0 Comments