SHORT WEDDING DRESSES!!!

KATIKA PITA PITA YANGU HAPA KWETU SIJAWAHI KUKUTANA NA BI ARUSI ALIYEVAA NGUO FUPI, HAZIKUBALIKA AU HAZIPENDEZI???


Post a Comment

3 Comments

  1. Mi kwa mtazamo wangu hizi nguo zinawapendezea maids na sio bi harusi.

    ReplyDelete
  2. hlf mtt wa mbele na maids wavae nn?

    ReplyDelete
  3. zinapendeza na ni nzuri co lazma mburuzo tubadilike jaman zko vzr dada helen ni za heshima pia

    ReplyDelete