SHUKU & REHEMA WEDDING RECEPTION!!!

BRIDE                     ::REHEMA
GROOM                  ::SHUKU
EVENT                    ::RECEPRTION WEDDING
VENUE                    ::STALLION GARDEN
COLOR                   ::ORANGE & WHITE
CAKE                      ::E.CAKES - +255 713 177 500
MAKEUP                 ::GLAMBOX
MC                           ::PILIPILI- +255 754 415 542/715 415 542/785 415 542
YEES!!! NI NEW WEDDING COUPLE SHUKU & REHEMA, KWA KUWAONA TU UNAPATA PICHA JINSI NYUMBA YAO ITAKAVYOCHANGAMKA, BLACK BEAUTY BRIDE KAPENDEZA SANA, HAIRSTYLE YA BI HARUSI WAS UNIQUE, HII NDIO NAPENDA BI ARUSI ANABADILIKA HATA RASTA NAZO ZINAPENDEZESHA, ARUSI YENYE PROGRAM ILIYOWACHANGAMSHA WAALIKWA CHINI YA UONGOZI WA MC PILIPILI YA ARUSI....!!!!
LIKE OUR  FACEBOOK PAGE, FOLLOW MASHUGHULIBLOG ON INSTAGRAM & TWITTER

REHEMA's SWAGGA
MC
MC PILIPILI ya arusi
Endless Laughter, Unspekable Joy
YAP NI KWELI KABISA YEYE NI COMEDIAN MC, ANAENDESHA SHUGHULI KWA UJUZI NA ELIMU YA KUTOSHA MANENO YA KUKUCHEKESHA NDIO PILIPILI YA ARUSI, WADAU MC PILIPILI ANAONGOZA SHUGHULI ZA AINA ZOTE, ILA KWA MIMI NAONA PIA TUMCHUKUE PIA KWENYE "BAG PARTY" BADALA YA KUWATUMIA KINA MAMA ZAIDI, YEYE YUKO KIKAZI ZAIDI, MTEMBELEE KWENYE WEBSITE YAKE WWW.MCPILIPILI.COM UMJUE ZAIDI
CONTACTS:+255 754 415 542/715 415 542/785 415 542
FAMILY INTRO
WEDDING SHOE GAME
SHUKU & REHEMA WALIKUWA NA MCHEZO WAO WA ARUSI AMBAO WAMEANDAA WENYEWE UNAHUSU VIATU WALIBADILISHANA NA MC ALIKUWA NA MASWALI ANAWAULIZA YANAHUSU TABIA ZAO, WAO WALITAKIWA KUNYANYUA KIATU CHA MUHUSIKA WA TABIA!!!
PICHA HII INAONYESHA KIATU CHA REHEMA NDICHO KIMENYANYULIWA...!!!!
DECOR.....!!!
CAKE
WAKIKATA KEKI KWA PAMOJA...!!! UMOJA NI.....
MATRON NA PATRON WAKILISHANA KEKI 
KEKI ZA WAZAZI
MWENYEKITI WA KAMATI AKIPATA KEKI YAO
 CHAMPAGNE
WADADA WA UKWEE'E WAKIFUNGUA CHAMPAGNE
MKONO WA PONGEZI NA ZAWADI
TULIANZA NA WAZAZI
 MAMA MZAZI WA SHUKU AKIWAPONGEZA SHUKU N REHEMA
MARAFIKI WAKIWAPONGEZA MAARUSI
MARAFIKI TOKA SAUZI WAKIWAPONGEZA REHEMA & SHUKU
 MAJIRANI ZAKE LILIAN & PETER WA SALASALA AMBO PIA NI KIKUNDI KIKIPELEKA ZAWADI KWA SHUKU & REHEMA WALIKABIDHIWA CHEQUE YA TSHS. 1,000,000/=
SHEMEJI ZAKE SHUKU WAKIPELEKA ZAWADI KWA MAARUSI
 KAMATI IKIWAPONGEZA REHEMA & SHUKU 
WALIPEWA HUNDI YA TSHS. 1,000,000/=
 MR & MRS. PETER WALEZI WA SHUKU WAKITUNZWA NA NDUGU NA MARAFIKI WA LILIAN
 MR & MRS PETER
 MAMA MLEZI WA SHUKU LILIAN NA DADA ZAKE WAKIMTUNZA MAMA MZAZI WA SHUKU
CHAKULA
NYUSO
MISHY & FRIEND
RHODA & HUBBY MNAMKUMBUKA-YULE THE HAPPIEST BRIDE EVER 
LILIAN KARUMUNA 'BOSSLADY' AKIWA NA MAMA 
GETU & FRIEND
JULIE & HUBBY
MDAU WANGU WA UKWEE'E MAMA YA BANDARI MWANAIDI & SARAH
RED CARPET
DELPHINA 
LILIAN KARUMUNA-BOSSLADY, BABY YELLOW DRESS YOU LOOK STUNNING, DRESS TOKA MISHY-VIRGOENRIQUE!!!! 
JACK-KIM KARDASHIAN
MISHY
JULIE
GETU
RHODA
MRS. WANGWE
LILIAN & HUBBY WAKE!!!
SISTERZ
MWANAIDI & SARAH
JACK AND JULIE BEST FRIEND FORVER
SISTERZ FOREVER LILIAN & FLORIDA 
SISTERZ
PENDEZA EEH!!! YELLOW & BABY YELLOW VIVAZI TOKA VIRGOENRIQUE, HAPANA CHEZEYAAAA!!!!
JICHO HILOOO!!!
JULIE
MISHY
GETU
LILIAN & HUBBY!!
SWAGGA

Post a Comment

10 Comments

 1. No comment at ol... kusoma hujui hata picha huoniiiii???

  ReplyDelete
 2. Ningependa kujua mpambaji wa hii shughuli kapatia ile mbaya.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ningependa kumjua aliemsuka hizo nywele, aliemchagulia gauni na hivyo viatu vya orange. KUMBUKA: Na uzuri nao unachangia.

   Delete
  2. NINGEPENDA KUMJUA ALIEMCHAGULIA BI HARUSI MATRONI, NINGEPENDA KUMJUA ALIEMPELEKA MATRON KUSUKA, NINGEPENDA KUMJUA ALIEMSHAURU BI HARUSI KATIKA UCHAGUZI WA MATRON, NINGEPENDA KUMJUA ALIEMSAIDIA BI HARUSI ......

   Delete
 3. ma bi arus muwe waangalifu sana kwenye maamuzi ya vitu, na jinsi ya muonekano mzima wa siku yako maalum,sio siku ya kujaribu ni siku pekee,mpamabaji na keki bomba sana

  ReplyDelete
 4. Ukumbi umepambika bomba sana. NI kazi ya nani!

  ReplyDelete
 5. Arusi ilikua bomba balaa, ukumbi ulipendezaje...

  ReplyDelete