TEZRA KOKU KITCHEN PARTY!!!

  • BRIDE                     ::TEZRA KOKU MKAMA
  • EVENT                    ::KITCHEN PARTY
  • VENUE                    ::DANKEN HOUSE
  • COLOR                   ::HOT PINK, RED & YELLOW
  • CAKE                      ::HAPPY CAKE
  • MAKEUP                 ::MACRINE MDOE
  • MC                           ::JAMILA KITMTIM
  • DRESS                    ::JASMINE   
YEEES!! MAMBO YA UKWEE KUANZIA MWANZO HADI MWISHO, NAWAPA BIGUP SANA WANAKAMATI, TEZRA ALIPAMBWA NA RANGI ZA HOT PINK, YELLOW & RED, HUKU BAADHI YA WANAKAMATI WAMETINGA KITENGE CHA NYOTA NYOTA, MAMBO YALIKUWA PAMBE HAPANA CHEZEYA ZAWADI ZAUKWEE TOKA ALCA DECO ZIMEKAMILIKA, MIE HAWA NAWAITA WATOTO WA MUJINI, ZAMA NDANI UONE ZAIDI....!!!

 SWAGGA
TEZRA AKIINGIA
 MAMA AKAMPOKEA MWANAYE
MC
JAMILA KITMTIM
 KAMATI
MWENYEKITI KYDAWAH
 TEZRA AKIFICHULIWA!!!
INTRO....!!!!
 DECOR....!!!

  ZAWADEE
SITTING ROOM ILIYOKAMILIKA TOKA ALCA DECO
 
CAKE
 CHAMPAGNE
BURUDANI
NYOTA ABDALLAH ALIKUWEPO KUTUPA RAHA ZAIDI....!!!
ZAWADEE NA KIFUTA JASHO
AGENT HAO WAKIRUSHA PESA KWA ODO NAIMA
AGENT WA BANDARI WALIMFUTA JASHO ODO NAIMA
MIMIE KYDAWAH AKIMKOSHA SHOSTITO WA UKWEE JAMILA
BEST GROUP WAKIMKOSHA JAMILA KILA MTU ONE M MKONONI
MAMA MDOGO AKITUNZWA NA SHOSTI WAKE
JAMILA AKIKABIDHI ZAWADEE ZAKE KWA TEZRA
JAMILA SHIKAMOOO!!! ZAWADEE ZA UKWEE'E WALA SI ZA JESHINI...!!! NI MAMBO YA ALCA DECO..!!
WANAKAMATI WAKIONGOZWA NA MWENYEKITI KUKABIDHI ZAWADI ZA TEZRA
MWENYEKITI KYDAWAH AKIKABIDHI ZAWADEE ZA TEZRA NA KUMWAMBIA TUMEKUPA ZAWADE ZA JIKONI MUME ANATAKA KUPIKIWA ILI AFANYE KAZI VINZURI....LOL!!
JAMILA AKIMTUZA SHOSTI WAKE MAMIE KYDAWAH
AH KUMBE MADINI KHA!!! UENYEKITI RAHA LAKINI KWA JAMILA TU
KITU MADINI, JAMILA UKO JUUU SANA UNAJUA HISANI EEH!!
WAALIKWA TOKA MWANZA WALIKUJA NA MC WAO MAMA STEVE
WAALIKWA TOKA MWANZA WAKIENDA KUMFUTA JASHO JAMILA, HAPANA CHEZEYA KANDA YA ZIWA BWANA WALISHIKA DOLA 100 NA WEKUNDU WA MSIMBAZI

TEZRA AKIWASHUKURU WOTE WALIOFANIKISHA NA KISHA HAWA WANNE ALIWAPA ZAWADEE....!!!
ALIMWAMBIA MAMA NAJUA THAMANI YAKO SANA....!!!
AKIMVISHA MAMA YAKE MADINI EEH HAPANA CHEZEYA TEZRA
M-KITI AKITUPEWA ZAWADI YAKE...!!!
MAMA AKIPELEKA KAPU LA MAMA
CHAKULA
NYUSO
WANATESAJE...!!!
WADAU WA UKWEE HAO HAPANA CHEZEYA!!!
TEZRA, LATIFAH & FRIEND
OLIVER & FRIEND
JASMINE & FREINDS
KIDAWA, LATIFAH & FRIENDS
MWARI NA SOMO ZAKE
WAGENI TOKA MWANZA HAPANA CHEZEYA
WADAU WA MWANZA
NYOTA NA SALMA
RED CARPET
HII BANNER IMETENGENEZWA NA MASHUGHULI BLOG CALL THIS # +255 655 426 100

WADAU WANGU WA UKWEE'E

SWAGGA

Post a Comment

2 Comments