THABITHA's KITCHEN PARTY!!!

 • BRIDE                     ::THABITA
 • EVENT                    ::KITCHEN PARTY
 • VENUE                    ::DANKEN HOUSE
 • COLOR                   ::YELLOW, RED & BROWN
 • MAKEUP                 ::MAZNAT
 • MC                           ::ADELA
 • DRESS                     ::HAPPY
NI KITCHEN PARTY YA MWANADADA THABITA, ILIYOFANYIKA KWA FUJO PALE DANKEN, MAKEUP YAKE ILIFANYWA NA MAZNAT NA NGUO NI DESIGNER HAPPY, SARE ILINOGA KWA SANA, WATU PENDEZA KWA SANA.....!!!

THABITHA AKIINGIA UKUMBINI
ALIINGIA KWA SHAMRASHAMRA ZISIZO NA KIFANI
INTRO....
 MC
MC NI YULE YULE ADELA MAMA WA SAUTI TULIVU ISIYOUMIZA MASIKIO
DECOR
 ZAWADEE
CAKE
 THABITHA ALIANZA KUMLISHA MAMA NA MAMA NAYE AKAMLISHA
 CHAMPAGNE
 BI ARUSI THABITA ALIHUSIKA KUFUNGUA CHAMPAGNE KWA MBWEMBWE
BURUDANI
KWAITO YA THABITA
ZAWADEE NA HONGERA KWA THABITA
 THABITHA AKITUNZWA NA SHOSTITO JANE
CHAKULA
 THABITA  AKIGAWA ZAWADEE
NYUSO
 


 

RED CARPET
 
 
 Post a Comment

10 Comments

 1. MABIBI HARUSI KAMA HAWA WANATUPA MOYO NASISI WENGINE IPO SIKU TUTAOLEWA , HONGERA SANA BIDADA

  ReplyDelete
 2. BIG UP SANA MAAGENT MMETISHEEERRR! HONGERA DA TABITHA

  ReplyDelete
 3. Duh, yaani kitchen party zinazowahusu maagent huwa ni balaa hapa dar, mnatisha kama upupu nyie watu. Hakunaga kama maagent. Mc Adela yupo juu, mashughuli hakuna kama wewe

  ReplyDelete
 4. funika mnoo, umepeneza sana bidada na sherehe ilinoga mno.

  ReplyDelete
 5. HONGERA DADA MAMA RANS!

  ReplyDelete
 6. Umefunikajeeeee, hapana chezea mamaa Rans!

  ReplyDelete
 7. I like it! imepeeza ile mbayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  ReplyDelete
 8. mumetisha sana KORU

  ReplyDelete
 9. duuh amakweli tulilie bahati sio uzuri

  ReplyDelete
 10. habarii ndoo hiyo mwanamke cyo uzuri je spidoo inahusuuu!mwanamke utamu bwana lazima uolewe kama uko na sukari yako natural.wanunua nn ss usiambiwe ukeli thabisa iko na suger thts y amenyakuliwa.

  ReplyDelete