HADIJA & NASSER RECEPTION WEDDING

 • BRIDE                     ::HADIJA
 • GROOM                  ::NASSER
 • EVENT                    ::WEDDING RECEPTION
 • VENUE                    ::LULU  HALL
 • COLOR                   ::PINK & GREEN
 • MC                           ::MARIAM MIGOMBA
 • CAKE                       ::TAMBAZA UPANGA
NI ARUSI YA KUKATA NA SHOKA KATI YA HADIJA & NASSER, KAMA IPO IPO TU WALA HAKUNA WA KUZUIA UMEWAONA EEH!!! MAMBO YOTE NI MWENYEKITI WA KAMATI TABU MABOBISHI, WATOTO WA JANGWAANI KARIAKOO

 NASSIR
  KHADIJA
SWAGGA ZA BI ARUSI
MKIA WA KUMWAGA
 MAARUSI WAKIINGIA
 HAWA VIJANA NDIO WALICHUKUA JUKUMU NZIMA LA ULINZI WA MAARUSI
 MAARUSI WAKIINGIA KWA FUUUUUJO
MC
NI MIRIAM
 MAARUSI WAKITOA UTAMBULISHO WA FAMILIA
MWENYEKITI WA KAMATI NA SOMO TABU AKIKARIBISHA WAGENI
 DECOR
ZAWADEE
 USISHANGAE MDAU SIO KILA SIKU FENICHA LEO MIFUKO YA CEMENT
KHADIJA & NASSER WAKIVISHANA PETE
  CAKE
 BABA AKIPOKEA KEKI
 MAMA WA BI ARUSI REHEMA AKIPOKEA KEKI
M/KITI WA KAMATI NA SOMO AKIPOKEA KEKI KWA NIABA YA KAMATI
 
 CHAMPAGNE
BURUDANI
HAPANA CHEZEYA ALHANISA SLEYUM WA ZAYUN, KAGUSWA 
JASMINE AKIMTUNZA MAMA YAKE...!!!
WATU WAKICHEZA KWA RAHA ZAO
ZAWADEE
MAMA NA MWANA, HAPANA CHEZEYA REHEMA SOFA ZA UKWEEE

WAPAMBE WA MAMA WA BI ARUSI REHEMA 
MWANAMAMA WA UKWEE AKIENDA KUKABIDHI MIFUKO YA CEMENT ZAWADI YA KUDUMU HIYOOOO!!!
UMEONA WAPENDA MAENDELEO
MASHOSTITO WAKITUNZA
CHAKULA
EEEH!! SAHANI MOJA YA BWANA!!!
NYUSO
MAMA WA BI ARUSI REHEMA, HAFUA & FRIEND
TABU & ZAKIA MABOBISHI-SISTERS
ZAKIA & BRAKAT (HUBBY)
JASMINE & FRIEND, JASMINE KIJUSO MASHALLAH!!
HAWENA & FRIEND
SOPHIA & FRIEND
ZAKIA & FRIEND
RED CARPET

TABU MABOBISHI, SHABIKI WA YANGA
ZAKIA RAJAAB
HAFUA
WADADA WA JANGWANI KARIAKOO HAO
SWAGGA


Post a Comment

4 Comments

 1. Mashughuli asante sana kwa blog yako nzuri . Leo limemuona rafiki yangu ambaye nilimtafuta miaka mingi sana bila mafaanikio, JASMINE tulikuwa tunamwita YASMINE mtoto wa Bi HAFUA! Tafadhali sana nilikuwa naomba mawasiliano ya Jasmini mara ya mwisho kuonana nae tulikuwa wadogo sana mwaka 2001 kama sijakosea then mimi nikasafiri

  Tafadhali naomba msaada wako ngoja nikutumie mawasiliano yangu kwenye email yako. Natanguliza shukrani

  ReplyDelete
 2. Nani mwenzangu mtumie contact zako aunt hellen mashughuli ntazipata...kama uko istagram natumia jasminafua....I wish to knw you ungeandika hata jina....

  ReplyDelete
  Replies
  1. Nimefurahi sana umenijibu Jasmin...Ngoja nimuandikie mwenye blog email ya mawasiliano yangu! Ni mimi Hindu wa fire kariakoo tulisoma wote mgaya , I'm so happy kukuona tena mami

   Delete
 3. Nani mwenzangu... mtumie aunt hellen mashughuli contact zako.. ungeandika hata jina jamani I wish to knw you....kama upo instagram natumia jasminafua....fanya rfk yangu....

  ReplyDelete