BLOGGER SHAMIM MWASHA AZINDUA KAMPENI YAKE RASMI KAMA BALOZI WA KAMPENI YA GROW YA OXFAM!

NIKIWA KAMA BALOZI WA KAMPENI YA GROW YA OXFAM LEO NIMEZINDUA RASMI KAMPENI YANGU YA KUHAMASISHA WANATAALUMA WASHIRIKI KATIKA KUMSAIDIA MWANAMKE MKULIMA ILI AWEZE EPUKANA NA UMASKINI,
SHINDANO HILI LITAKUWA LINAKUHITAJI WEWE MDAU KUJAZA FOMU NA UELEZEE VIPI ULIWEZA MSAIDIA MKULIMA NA UTUAMBIE NI NINI TUMSAIDIE KUMNUNULIA CHENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI TANO IWAPO ATASHINDA.
ox3
ox2
ox4
NILIKUWA SAMBAMBA NA MWANAHAMISI SALIM MENEJA WA USHAWISHI NA UENEZI WA HAKI ZA KIUCHUMI WA GROW TANZANIA AMBAYE ANASIMAMIA KAMPENI HII YA GROWox7
ox6
PALIPO NA GROW HAPAKOSI CHAKULA APPLE NDO KILIKUWA KISAFISHA MDOMO ;)

FOMU ITAKUWA HEWANI HIVI KARIBUNI ENDELEA KUZURU BLOG ZA

www.millardayo.com, bongo5.com, issamichuzi.blogspot.com, othmanmichuzi.blogspot.com, http://michuzijr.blogspot.com,missiepopular.blogspot.com na blog zaidi ya 10 mikoani zinazomilikiwa na tone media ambazo zinahusika na mikoaya Tanzania
www.mbeyayetu.blogspot.com
www.daresalaam-yetu.blogspot.com
www.mwanzayetu.blogspot.com
www.rukwayetu.blogspot.com
www.morogoro-yetu.blogspot.com
www.kigoma-yetu.blogspot.com
www.zanzibartz.blogspot.com
www.kataviyetu.blogspot.com
www.iringayetu.blogspot.com
www.pwani-yetu.blogspot.com
www.singida-yetu.blogspot.com
www.dodoma-yetu.blogspot.com
www.ruvumayetu.blogspot.com
www.tanga-yetu.blogspot.com
www.njombe-yetu.blogspot.com

Post a Comment

1 Comments