ABDALLAH & ZAINABU RECEPTION WEDDING!!!

BRIDE                       :: ZAINABU DIWANI
GROOM                    :: SAID ABDALLAH
EVENT                      :: WEDDING RECEPTION
VENUE                      :: VIJANA HALL
COLOR                     ::YELLOW,RED & BLACK
 WAKIWA WAMEFUNGA NDOA YAO KATIKA UMRI MDOGO SANA ABDALLAH SAID NA ZAINABU WALIKUWA NA FURAHA, SHEREHE YAO ILIFANYIKA HAPO VIJANA HUKU NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WAKISHREREKEA MAMBO MANZURI ZAMA NDANI UONE

 
MAARUSI WAKIINGIA UKUMBINI NA WAPAMBE WAO
DECOR....///
 CAKE
NDAFU
CHAMPAGNE
BURUDANI
 UCHAGANI
ZAWADI
BABA NA MAMA ABDALLAH WAKITOA ZAWADI
 BABA ALIWAPA MAHARUSI KIWANJA NUSU EKA BUNJU NA PESA CASH 1 MILLION ZA KUANZIA UJENZI
 ABDALLA AKIWEKA KITITA KWENYE BAHASHA 
 MASHANGAZI WAKIPELEKA ZAWADI
 MAMA NA BABA WAKITUNZWA

DADA NA KAKA WAKIPELEKA ZAWADI
 WATOTO WAKIPELEKA ZAWADI
MWAGUMBO NA AMINA WAKIWATUNZA KAKA ZAO
CHAKULA
NYUSO
 
 SHANGAZI YAKE ABDALLAH
 BABA NA MAMA YAKE ABDALLAH
MAMA MZAZI WA BWANA ARUSI
RED CARPET
 


Post a Comment

6 Comments

 1. zainab pendeza sana mungu akujalie watoto wema na wenye upendo kwa watu kama wewe mwenyewe.
  pia pole kwa msiba wa bibi mana nakumbuka ulilia sana tulipotoka kwenye k-part yako tulikuficha.

  ReplyDelete
 2. HONGERENI WATOTO WA MIGO MIGO OYEE, MAMA IBU PENDEZE SANAAA

  ReplyDelete
 3. Jamani mbona wazazi wa mwanamke hamjawaweka?

  ReplyDelete
 4. masikini kumbe bibi harusi alipata mitihani kabla ya ndoa, mwenyezi mungu ampe wepesi katika ndoa yake. AMINA

  ReplyDelete
 5. Hongera sana Zainab na Abdallah mkatunze ndoa yenu haijalishi kama mna umri mdogo ama laa , mmefanya jambo la kumpendeza mwenyezi mungu sio watu wazima kuendekeza zinaa, wanaotafuta ndoa za Ramadhan ikiisha wanaachana. Mfyuuu, Mdumu miaka mia. All the best.

  ReplyDelete