ABDALLAH & MAINDA RECEPTION WEDDING!!!

BRIDE                       :: MAINDA
GROOM                    :: ABDALLAH
EVENT                      :: WEDDING RECEPTION
VENUE                      :: MIRADO HALL
COLOR                     ::PURPLE, BLUE & YELLOW
CAKE                         ::MONICA MAKUNDI
ABDALLAH & MAINDA WAS SIMPLE AND ELEGANT WEDDING, RANGI  ZA HARUSI YAO ILICHANGIA KUFANYA UKUMBI UONEKANE UKISHINE NA KUVUTIA, BI ARUSI ALIPENDEZA NA MAKEUP YAKE NA STYLE YA NYWELE ZAKE....!!!, NIMEPENDA SANA CAKE YAO.....!!!

MC
ABDALLAH & MAINDA WAKIINGIA UKUMBINI
DECOR...///
INTRO....///
ABDALLAH & MAINDA WAKIVISHANA PETE
DR. CHENI NAYE ALISHUHUDIA MAARUSI HAWA WAKIVISHANA PETE
CAKE
BURUDANI
ZAWADI & PONGEZI
BABA NA MAMA WAKITOA ZAWADI YA CHEQUE $ 2000 
CHAKULA

NYUSO
BI MWASHAMBA
MOODY MANZI & BROTHERS
MR & MRS MANZI

RED CARPETPost a Comment

6 Comments

 1. Mmependeza saaana!! wageni waalikwa makeup zimetulia, siyo za kiswazi. Biharusi na Bwanaharusi wote wamependeza

  ReplyDelete
 2. Mama Manzi umetoka kama msichana wa miaka 20 kwakweli nampa BIG UP Mzee Manzi kwa matumzo mazuri maana Mamie Mwali bado mbichi, pendeza kwa sanaaa, Chezea Mwanana Manzi Weye

  ReplyDelete
 3. Ndugu usiwapake mafuta kwa mgongo wa chupa.Mmmh wageni waalikwa mipoda wengine imepitiliza.Lol but hawamkuti bi harusi.She is so beautiful.Abdallah amepata

  ReplyDelete
 4. Waaaaaaoooooooooohhhh! mpendeza maharusi jamani, congrats bro umechagua umtunze huyo ana hata kovu. kila la kheri kwenye maisha ya ndoa

  ReplyDelete
 5. bibi harusi very cute

  ReplyDelete
 6. bi harusi nimekupenda sanaaa pendeza hongera kwa kumpata Abdallah

  ReplyDelete