AMINA & ADAM AQDI LUNCH!!!!!

 
 NI LUNCH YA AQDI YA AMINA & ADAM, BI ARUSI KAPENDEZA SANA....!!! NIMEPENDA MAKEUP IMETULIA KAZI YA MIKONO YA ASILA HAPANA CHEZEYA...!!! SOMO SHARIFFA KAVU SAMBASAMBA NA MWARI WAKE MWANZO MWISHO, RAHA ORIGINAL USTAADH KAWAPAGAISHA WAPENZI WAKE ZAMA NDANI KUJIONEA MAPICHA KIBAO MAMBO YOTE HAYO NI HAPO CUTCHI HALL

 HAIRSTYLES & MAKEUP ASILA BRIDAL CARE BONYEZA KUONA KAZI ZAKE ZAIDI
DECOR...////
BI ARUSI AKIINGIA
CHEZEYA SOMO SHARIFFA NYUMA YA MWARI WAKE
ADAM AKAMKISS MKEWE NA KUMFUNUA
WAKAVISHANA PETE ZA NDOA
BURUDANI
LIVE BAND RAHA ORIGINAL CHINI YA USIMAMIZI WAKE USTAADH, WANATIKISA JIJI KWA SASA, UZURI WAO UKIWACHUKUA WAO HUNA HAJA YA RUSHA ROHO WANAKUPIGIA NA DJ's MUSIC UKIWATAKA WASILIANA NA MASHUGHULIBLOG
MAMA AKIWATUNZA MASHOSTI WAKE WALIOKUWA NAYE SAMBAMBA KWENYE SHUGHULI YA MWANAYE
NYUSO
MAMA MZAZI REHEMA
LA' FAMILIA
SOMO PEMBENI YA MWARI MWANZO MWISHO
MWARI PAMBE NA SOMO WA UKWEE'E SHARIFFA WAKE KAVU
MWARI NA CHUNGA AMINA AMOUR NAKUAMINIA...!!!!
MAMA MZAZI REHEMA NA MAARUSI
FAMILIA
MAMA NA MWANA
AISHA, ASHURA & FRIEND
SHARIFFA NA USTAADH, TEAMRAHAORIGINAL
MIE NA HUSNA WAZIRI
MKUU NA MAARUSI
RED CARPET
NGUO YA SHARIFFA DESIGN BY JOHA SIMBA +255 715 612
954
 
 
 
 
 
 SWAGGA

Post a Comment

5 Comments

 1. Mashallaaah maharusi walipendeza na somo sharifa mimependa mapigo yako upo juu mamaaa usisahau walikwa walitokelezea kila m2u full kushine

  ReplyDelete
 2. mashallah bi harusi Amina umependeza mwanzo mwisho kuanzia singo, kitchen party hadi aqdi

  ReplyDelete
 3. Jamani mlipendeza ila sijawahi ona ndoa ikifungwa na band za muziki hususani za kiislam Inalillah wainaillah rajiun tubadilike jamani dunia ni mapito tupunguze starehe zilizochupa mipaka ni ukumbusho tu.

  ReplyDelete
 4. Hiyo ilikuwa ni Lunch tu ndoa ilishafungwa . Ingawa ukumbusho ni muhimu.

  ReplyDelete
 5. Bi Harusi alipendeza sana na Waalikwa halikadhalika wamependeza, hakuna mamikorogo. hebu tujifunze kwa hawa jamani. mbona ni warembo tu. Halima Ayubu nakufagilia bado upo bomba!!!

  ReplyDelete