AMINA's KITCHEN PARTY!!!!!!

BRIDE                       :: AMINA
EVENT                      :: KITCHEN PARTY
VENUE                      :: LULU HALL SINZA
COLOR                     ::YELLOW,GREEN & PINK
MAKEUP                  :: ASILA BRIDAL CARE
MC                             ::JAMILA KITIMTIM -+255 655 374 440
 NI KITCHEN PARTY YA AMINA YULE MWARI WA SHARIFFA KAVU HAPANA CHEZEYA MAMBO YA UKWEE'E, BI ARUSI PENDEZA SANA, KAMA KAWAIDA YA SOMO PAMBE WA MUJINI MWARI KAVAA NGUO MBILI ZA UKWEE'E, MAMA YAKE AMINA UMETISHAJE KINYWAJI MPAKA DAKIKA YA MWISHO.....!!!!

MC
MC JAMILLA KITMTIM
AMINA AKIINGIA UKUMBINI
 MAMA AKIMPOKEA BINTI YAKE
MWARI AKIFICHULIWA
INTRO...///
DECOR...//
ZAWADEE
 ZAWADI YA SOMO HIYOOO
CAKE
 KEKI YA AMINA MWANAMKE PARO
 WAKILISHANA KEKI NA BINTI YAKE
 BIBI MZAA MAMA AKILISHWA KEKI
AKIMLISHA MKUU KEKI
HESHIMA KWA SOMO
CHAMPAGNE
BURUDANI
WATANGA NA BAIKOKO HAPANA CHEZEYA
AMINA AKIINGIZWA SOMO YAKE SHARIFFA KAVU, NA NGUO YA PILI
SOMO ALIMBADILIA NGUO MWARI CHEZEYA SHARIFFA KAVU VEVE!!!
 SHARIFFA AKITAMBA NA MWARI WAKE
AMINA AKIKABIDHIWA ZAWADI ZAKE.
ALIANZA MAMA ZAZI KUMPA BINTI YAKE KIPENZI ZAWADI
 MAMA MZAZI AKIKABIDHI ZAWADI
 MKUU AKIPELEKA ZAWADI
MKUU AKIONGEA NA BINTI YAKE KWENYE KIGODA TANGALINE HIYO
 MC MAGONGO AKIENDA KUMTUNZA BINTI YAKE AMINA NA NYIMBO YA KUCHI KUCHI OH BABY.....!!!
 OH BABY, WHEN I WAKEUP IN THE MORNING, I SEE YOUR LOVELY FACE
 YOUR CHICKS LIKE BUTTER HONER FROM ATTICA...!! ALIIMBA AKIWA NA FEELING ZA FURAHA
ODO MC MAGONGO AKIKABIDHI ZAWADI YA TV KWA BINTI YAKE
 SOMO SHARIFFA NA PAMBE YAKE WAKIPELEKA ZAWADI
 AKAMKABIDHI TV STAND NA COFFEE TABLE
 PAMBE YA SOMO NA BI ARUSI WETU
 SOMO AKIPASHA.....!!! FUNGUKA SHARIFFA
 SHARIFFA MADENGE AKIMTUNZA DADA YAKE SHARIFFA
SHARIFFA AKITUNZWA NA REHEMA, MAMA MZAZI W AMINA
ALIMWAGAJE MIHELA KWA SOMO WA MWANAYE
CHAKULA
NYUSO
 SOMO PAMBEEE TU 
 MAMA REHEMA NA BINTI YAKE WA KWANZA
SHARIFFA NA MWARI WAKE 
JAMILLA & FRIEND
SHARIFFA MADENGE & WIFIYE HUSNA
 HUSNA & HUSNA
MAMA NA MWANA
ZAKIA & HAPPY
FATMA KAVU, AISHA MTENGETI & FRIEND
KHADIA ROZELLA & SAADA
TISHAAA SAADA
HAPPY BAGHDELLA
 SISTERZ FOREVER....!!!
AMINA, BIBI NA MAMA
 SAADA NASSOR PENDEZA EEH
MWARI NA SOMO PAMBE TU
MAMA MZAA CHEMA REHEMA
BIBI ZAKIA 
ASHURA TEACHER & AISHA MTENGETI
 MAMA YA MASHUGHULI NA WADAU WANGU
 WADAU WA MASHUGHULIBLOG
MC MAGONGO ALIKUWA NA FURAHA SAAANA
ODO MC MAGONGO NA BINTI YAKE
 SHARIFFA & HSUNA BEST FRIEND FOREVER
SHARIFFA & MC MAGONGO
RED CARPET
 
 

Post a Comment

9 Comments

 1. watu walipendeza sana na bi arusi pia mashaallah hongera da rehema na amina pia

  ReplyDelete
 2. Pendeza saana. HONGERA

  ReplyDelete
 3. KICHENI PARTY ILIPENDEZA SANA WATU WOTE WAMETOKA CHICHA

  ReplyDelete
 4. WATU WOTE WALIOVAA SARE WAMEPENDEZA

  ReplyDelete
 5. mashaaAllah somo kapendeza sana nguo yake nzuri MasahaaAllah na mwenyewe pia kapendeza 100%

  ReplyDelete
 6. Da Rehema upo juu dada yangu hongera sana sana Mwenyezi Mungu Akubariki, na Amina pendeza sana Mwenyezi Mungu Akubariki sana

  ReplyDelete
 7. watu ng'aring'ari bi harusi mtarajiwa mashallah dada yangu Lily uko powa ile mbaya yani! msikose kutuwekea picha za aqdi pamoja sendoff tafadhali.

  ReplyDelete
 8. SINA NENO KUU ZAID YA KUSEMA ASANTENI MAMA NA DADA ZANGU, NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WOTE MLIOHUDHURIA KWENYE SHEREHE YANGU BILA NYINYI ISINGEFANA, ISHAALLAH MWENYEZI MUNGU ATAWALIPA . ASANTE NYINGI PIA KWA MAMA YANGU KIPENZI RAHMA BAKHARESA NA SOMO YANGU KIPENZI SHARIFA KAVU LUV U SANA. FROM AMINA SK.

  ReplyDelete