AMINA's SINGO!!!!


BRIDE                       ::AMINA
EVENT                      ::SINGO
VENUE                      ::PJ HALL
COLOR                     ::PINK, GOLD, GREEN, BLUE, RED
MC                             ::JAMILA KITIMTIM-+255 655 374 440
DRESS                       ::S. FASHION - +255 713 442 022
CATERER                ::SHERRY CATERER - +255 713 442 022
 YEEEES!!! NI SINGO YA MWARI WAKE SHARIFFA KAVU HAPANA CHEZEYA UKO JUUU, KITU KIDOGO KWA WATU MAALUM WAPENZI WA SHARIFFA, MWARI KAFUNDWA KAIVA... !!! WATU WAMEAJIACHIA KWA RAHA ZAO GUSAGUSA MIN BAND LIVE NA KIBAO KATA HUKU RUSHA ROHO, WAPENDAO VINYWAJI WALIPOMBEKAJE!!!

MWARI NA SOMO, HESHIMA KWA SOMO...!!! 
DECOR
 VITU ALIVYOSINGIWA MWARI NA SOMO YAKE
MC JAMILA AKILIVURUMISHA....!! HAPANA CHEZEYA
MWARI KAKWIVA??? KIUNO KIMELAINIKA
SHARIFFA UKO JUUU MWARI KAIIIVA.....!!!
MWARI MWARIKWA
BURUDANI
 GUSAGUSA MIN BAND LIVE
 KIBAO KATA
 SOMO ALITUNZAJE....!!!
 SAIDA KANYAU KAMA KAWAIDA AKITUNZA
 ASISHA MTENGETI KAGUSWA....! EEH
 HASINA MOO KAGUSWA NA JAFFARY BHAI
 SOMO AKIRUSHA ROHO KWA RAHA ZAKE
 SOMO SHARIFFA KAVU AKIFUTWA JASHO
 TABU MABOBISHI AKIMFUTA JASHO MDOGO WAKE SHARIFFA
 HUSNA AKIENDA MFUTA JASHO SHOSTITO WA KWEE'E MIAKA 800, TUPA KULE LAKI TANO, HESHIMA PESA SHIKAMO MAKELELE
 AKITAMBA KWA RAHA ZAKE HUSNA MADOHORA
 ROSE AIKE AKIMFUTA JASHO SHARIFFA NA KAMPANI YAKE
 
 SAIDA KANYAU AKIMFUTA JASHO SHARIIFA LAKI TANO
 AMINA AMOUR AKIMTUNZA NDUGU YAKE AMINA NA KAMPANI YAKE

CHAKULA
LILLY KESSY NAKUONA JIRANI
NYUSO
SAADA
SITTU & PACHA WAKE
 SHARIFFA MADENGE & KHADIJA
MAYA, HAPPY& HUSNA
 ASHURA TEACHER & FRIEND
 SHARIFFA, MISHY & MERY
 KHADIJA SHETTA & FRIEND
JAMILA  SITTU MWASI NA PACHA WAKE
AISHA MTENGETI & FRIEND
 CHICHI & MAMA VANESSA
 ANGEL MLAY & FRIEND
 SAADA NASSOR
 SISTERS LOVE SAADA & SHARIFFA
 JASMINE & FARIDA
TABU & FATMA
 SAIDA, SHAMSA, NANA & 
 SHAMSA HASSANO
 HAFIDHU
 SAIDA & SHAMSA HASSANO
 NANA KANYAU & FRIEND 
 REMINA, MASOUD & KEY
ROSE, DOLLA & HALIMA KAMUSI DESIGNER...!!!
 RAYA, HASINA & HAFIDH
 RAYA & HASINA
  SAADA NASSOR
 AMINA & SHARIFFA
SISTERS LOVE
SHARIFFA AKITOA SHUKRANI ZAKE
WANAKAMATI WA SINGO YA AMINA...!!! MASHOSTITO WA UKWEE'E WA SHARIFFA KAVU, MWENYEKITI WETU MARIAM MNTAMBO TUMEKUMISS SANA
RED CARPET
 
SWAGGA
VIKUBA VYA WANAKAMATI


Post a Comment

11 Comments

 1. Vipi hali Hellen, naomba no ya mtengenezaji WA VIKUBA

  ReplyDelete
 2. Mmmmmm ponda raha kufa kwaja , wewe Judy hii shughuli ilikuhusu kabsaaaa , wapi Mamaa Rose Aike, Saida Kanyau, Hasina Moo, Rahma Shamte. Raha jipe mwenyewe Karaha wakupe watu wapiiiiii Helen mama ya blog. hii blog inanipa raha sana jamani looo.

  ReplyDelete
 3. Mama Rahma mama ya watoto wakiume tuuuu, eti mama nikuulize hajabaki hata mmoja eti ambae bado hajananiii eti mama, shkamoo

  ReplyDelete
 4. Namimi nataka namba ya mtengenezaji vikuba.... Da Hellen please

  ReplyDelete
 5. VIKUBA PIGENI NAMBA YA SHERRY CATERING IKO JUU KABISA

  ReplyDelete
 6. Shughuli ya watu wa mjini imeenda kimjimjini waaaaaa

  ReplyDelete
 7. Imependeza kwa kweli. Ant sharifa yko juuu, wakuache miaka mia

  ReplyDelete
 8. sssss ilitamba

  ReplyDelete
 9. Safi sanaaaaaa wanawake tujipe raha wenyeweeeeeee huku ni STRESS FREE ZONE MASHALAAH MUNGU AKUJAALIE NDOA NA MUME MWEMA

  ReplyDelete
 10. Da hellen naomba namba ya somo (shariffa kavu)

  ReplyDelete