AQDI LUNCH ESHE & RASHID

BRIDE                       ::ESHE
GROOM                    ::RASHID
EVENT                      ::WEDDING LUNH
VENUE                      ::NADDS HALL
COLOR                     ::WHITE & ROYAL BLUE
CATERER                ::
DECOR                     ::
NI CHAKULA CHA MCHANA KWA AJILI YA MAARUSI ESHE NA RASHID, BAADA YA AQDI YAO FAMILIA NA MARAFIKI WALIKAA PAMOJA NA KUFURAHI NA MAARUSI HAO, HUKU KINANDA LIVE KIKITOA BURUDANI NI YULE BI ARUSI ESHE KWENYE SINGO ALIKUWA NA SWAGGA ZA TAUSI....!!!!

  

 SWAGGA
MAARUSI WAKIINGIA
 ALIANZA KUINGIA BI ARUSI ESHE....!!!
KISHA AKAINGIA RASHID...!!!!
DECOR...///
BURUDANI
FAUZIYAT ABOOD KAGUSWA....!!!!
 
MAMA MZAZI KIBIBI AKITUNZWA
CHAKULA
HAPANA CHEZEYA BUFFER SELF SERVICE
NYUSO
 MAMA NA MWANA
KIBIBI MAMA WA BI ARUSI
MARIAM MKWECHE, FRIEND & ESHE
DR. TAMBA, MZEE KISMAT & KIJANA WAO
RAHMA KISMAT, MKWEWE & ESHE
FATMA HASSANO, ESHE & FRIEND
WANA WA SUBIRA GROUP
SABAHA MUCHACHO & FAIZA MAFISH
MARIAM MKWECHE & FRIENDS
MR & MRS KISMAT NA MKWE WAO PENDEZA
FATHIYA & FRIENDS
RED CARPETPost a Comment

5 Comments

 1. Bi Harusi na Bwana Harusi, wamependeza na ni wazuri Mashaallah!!! Hina ya Bi harusi nayo Mmmh Maashallah, waalikwa wote wamependeza sana weusi wamependeza Weupe wamependeza MUNGU AWAJAALIE NDOA IWE YA AMANI NA FURAHA TELE. Ammyn!

  ReplyDelete
 2. jamani nzuri sana nimefuatilia kuanzia singoooo kwakweli ni ya kistaarabu, nimependa sana wana watu, wamejipanga, couple nice, waalikwa wamependezaaaa. jamani everi singi izi naisiiii!!! nimewapenda kina kismati na mkwewe tunasubiria maulidi ya kijachooo duuuu Mungu awajalie maisha mema, da elen unajua watu weyee yani risipectiii, julieee

  ReplyDelete
 3. nice pics mungu awajaalie maisha mazuri na masikizano katika ndoa yao

  Mamyjohn

  ReplyDelete
 4. Maharusi wamependeza sana na harusi ni nzuri sana ya kistaarabu mwenyezi mungu awajalie maisha mema na yenye upendo

  ReplyDelete
 5. Mashaallah bi harusi kapendesa sana hina dress tz fantastic pia bwana harusi inshaallah allah NDOA IWE YA AMANI NA FURAHA TELE

  ReplyDelete