BARAKA & HAPPINESS RECEPTION WEDDING!!!

BRIDE                       :: HAPPINESS ROBART
GROOM                    :: BARAKA MSAFIRI
EVENT                      :: WEDDING RECEPTION
VENUE                      :: URAFIKI HALL
COLOR                     :: GREEN & ORANGE
 NAWEZA WAITA HAPPIEST COUPLE MAANA WANAENDANA KWENYE KILA KITU, NYUSO ZAO ZENYE TABASAMU NA WOTE WANAPENDA SKELEWU DANCE NI HAPPY & BARAKA, SHUGHULI YA KUKATA SHOKA, KAMA KAWAIDA KATA MTI PANDA MTI SI UNAJUA MAAGENT WA BANDARI HAPANA CHEZEYA...!!!NI HAPO URAFIKI SOCIAL HALL UBUNGO 

 
SWAGA
 MAARUSI WAKIINGIA
SELF DRIVE BRIDE N GROOM........!!!!!
WALIANZA MAIDS, HAPA THEME ILIKUWA NI SKELEWU MAANA BARAKA NA HAPPY WANAICHEZAJE...!!!
DECOR....////
MC
INTRO
BARAKA ANA MANJONJO UMEONA EEH!!
CAKE
WAKIKATA NDAFU
BURUDANI
PONGEZI
MASOUD MKUREGENZI WA FACE PACKNA MKE WAKE MARIAM WAKIKABIDHI ZAWADI NA WAFANYAKAZI WA METL
MAMA YAKE BARAKA AKIKABIDHI ZAWADI YA BIBLE
MAMA AKITOA MKONO WA HONGERA
MWANAFAMILIA YA KINA HAPPY WAKIKABIDHI ZAWADI YAO
DADA ZAKE BARAKA WAKIPELEKA ZAWADI
WAZAZI WAKITUNZWA
WANAKAMATI
M-KITI WA KAMATI AKIKABIDHI CHQ
NAWEZA THEME YA ARUSI NI SKELEWU DANCE
 CHAKULA
NYUSO
KAMA NAIJA VILE WAZAZI WA HAPPY
MAMA MZAZI WA BARAKA NA MJOMBA
MARIAM HAPANA CHEZEYA....!!!
RED CARPET
MARIAM MUKE YA MKUREGENZI MASOUD

Post a Comment

2 Comments

  1. hongera baraka kaka yangu M/Mungu aidumishe ndoa yenu.

    ReplyDelete
  2. Kila la Kheir. Baraka you are Handsome.

    ReplyDelete