JANET's KITCHEN PARTY!!!

BRIDE                      ::JANET
EVENT                      :: KITCHEN PARTY
VENUE                      ::KWALALUMPA HALL
COLOR                     ::GREEN, ORANGE & YELLOW
MC                             ::MAGONGO +255 714 322 965
 NI KITCHEN PARTY YA MREMBO JANET ILIYOFANYIKA KWALALALUMPA HALL MITAA YA SINZA, TOFAUTI NA KAMA TULIVYOZOEA JANET ALISINDIKIZWA NA VIJANA WAWILI WATANASHATI, JANET ALIPENDEZA SANA NA TABASAMU LAKE ZAMA NDANI KUONA ZAIDI...!!! FOLLOW MASHUGHULIBLOG INSTAGRAM KUPATA VIONJO..!!!

MC
MC MKONGWE MWENYE UZOEFU WA HALI YA JUU, YEYE UONGOZA SHUGHULI KWA UJUZI ZAIDI, ANA MIAKA KADHAA KATIKA KAZI HII MPIGIE SIMU KWA AJILI YA SHUGHULI YAKO SENDOFF, RECEPTION & KITCHEN PARTY!!!
+255 714 322 965
 WALIANZA MAIDS KAMA KAWAIDA
JANET ALISINDIKIZWA NA VIJANA WAWILI...!!!
DECOR...//
 ZAWADI
 CAKE
BURUDANI
JANET AKIPEWA ZAWADI
 M-KITI AKIKABIDHI ZAWADI KWA JANET
 MC MAGONGO AKIENDA MTUNZA JANET NA NYIMBO YAKE ILE ILE KUCHI KUCHI SAFARI HII KAMTENGENEZEA JANET CAKE....!!!

CHAKULA
NYUSO
MC MAGONGO UNATISHAJE NA MADINI
 MWENYEKITI WA KAMATI
WIFIE
 RED CARPET

Post a Comment

5 Comments

 1. ALIPENDEZA LKN SIDHANI KAMA HAWA WAVULANA WALIPASWA KUMSINDIKIZA

  ReplyDelete
 2. kparty watu wasafiiiiiiii kama sendoff;bi haruc gauni lako matawi mi nlifikiri ni sendoff mweee;tunaomba na picha za sendoff na haruc

  ReplyDelete
 3. Imetokelezea bibi harusi alipendeza sana wish u all the best in future!!!

  ReplyDelete
 4. Bi harusi matawi uanzani harusi!! hio ni kpart tu Hongera kwa kujipanga!!

  ReplyDelete
 5. k part bombaa ila bi harusi hy nguo mbona ya sendoff au reception?? siku ya sendoff yako hautakuwa na tofauti yoyote pia hao wakaka sijawaelewa kwa kweli au nao wanaingiaga jikonii?????

  ReplyDelete