MAULID YA BABY FEISAL!!

YES!!! NI MAULID YA MJUKUU WAKE SALHA CHUCHU, MTOTO WAKE WA UJANANI LEO KAMLETEA KIJUKUU CHA KWANZA FEISAL, RAHA ILIYOOJE!!!, MAULID HAYO YALIFANYIKA KINONDONI MKWAJUNI MTAA WA MAFERE...!!!  ZAMA NDANI UONE SARE ZA MAULID ZILIVYOGARA....!!!

 
CHEZEYA BIBI KIJANA HINA HINANI
DECOR...///
MADRASSATUL 
 FEISAL AKITOLEWA NJE....!!!


BARKA
PILAU KWA BIRIANI
NYUSO
LADY HANIFA
MASIKA MWAKITALU
SALHA NA MJUKUU WAKE
HAWA NI MASHOSTI WA UKWE'E LADY HANIFA NA MASIKA MWAKITALU
RAMA BABU YAKE FEISAL
MASIKA MUKE YA MWAKITALU & FRIENDS
LADY HANIFA & MASHOSITO
SALHA MTOTO WA UJANANI LEO KAMLETEA MJUKUU
FATIMA WA RAMA...!!! HAPANA CHEZEYA
SALHA, BIBI YAKE FAISAL...!!!
RED CARPET
baby pozi
SALHA

Post a Comment

3 Comments

  1. namuona da massy pendeza wewe muke ya mnyakyusa

    ReplyDelete
  2. Mola amkuzie .mashaalah walipendeza sina hata wa kumtoa kasoro .

    ReplyDelete
  3. Sasa mbona hatuonyeshwi baba wala mama wa mtoto.

    ReplyDelete