USIKU WA MATUNZANO SALHA!!!

BAADA YA SALHA KUFANYA MAULID YA MJUKUU WAKE FEISAL, MASHOSTITO WAKE WAKAMWAMBIE BIBI LAZIMA TUKUTUNZE KWA KUJUKUU MAPEMA....!!! BASI HII NDIO SHUGHULI SALHA AKITUNZWA NA MASHOSTITO WAKE, LADY HANIFA WA YALIOMO YAMO REDIO ONE NDANI YA NYUMBA...!!!!
ZAWADI
SALHA AKITUNZWA
 ALIANZA DADA YAKE SAKINA WA RAMA KUMTUNZA MDOGO WAKE...!!!
SAUMU AKIMTUNZA SHOGAYE KABATI LA NGUO LA MTOTO
 BIBI WA MUJINI MPAKA MASELA NDANI YA NYUMBA SHURTI KWA KUMTUNZA
 MASIKA HUYO MUKE YA MWAKITALU AKIENDA KUMTUNZA SHOSTI WAKE, DADA YAKE WA SHIDA NA RAHA...!!!
 ALIRUSHAJE ROHO.....!!!
 LADY HANIFA KUMBE YALIYOMO YAMO EEH....!!!
 DIDA AKIPELEKA ZAWADI KWA SALHA
 MJUKUU WETU FEISAL ATAPATAJE RAHA...!!!
 SAKINA AKITUNZWA
NYUSO
RED CARPET

Post a Comment

6 Comments

 1. shughuli ilipendeza kwa kweli mlijitahidi sanaaa

  ReplyDelete
 2. jamani baby faisal ni handsome, mama na baba yake mbona hamjatuonyesha

  ReplyDelete
 3. TAMBA NAE OOO TAMBA NAE HAKUNA MWANA ASIYE NA MAMA TAMBANAE
  HAKUNA MWANA ASIYE NA BABA TAMBANAE
  HAKI HAIKUTENDEKA WAZAZI WAKO WAPI????
  JAMANI MSIWALETE MAKUGWI KUNA SOMO NA KUNA MWALI HATA AKIWA KIGEGO.

  ReplyDelete
 4. Nimemuona shoga yangu MBULA, kweli hii mashughuli

  ReplyDelete
 5. Hongereni ndugu zangu kwa kupata mjukuu, Sakina mie sijakujua umenenepa sanaa, nimefurahi kuwaona maana muda hatujaonana, shughuli imependeza sanaa, nani kapata mtoto Waziri, Rama au Mody? mie Mama Mody dada yake Mangara

  ReplyDelete