VERGAD & SARAH WEDDING RECEPTION!!!

WEDDING RECEPTION YA SARAH & VERGAD ILIFANYIKA LAMADA UKUMBI WA JK HALL, SHANGWE NA VIGELEGELE VILISIKIKA HUKU THEME YA KATA MTI PANDA IKIZINGATIWA....!!! ZAMA NDANI KUONA ZAIDI

 
MC-HELLEN
BABA MZAZI WA SARAH AKIKARIBISHA WAGENI..!!!
DECOR....!!!
CAKE
  BABA AKIPOKEA KEKI YA ASANTE
 CHAMPAGNE
BURUDANI
CHAKULA
NYUSO
 
AMINA DESIGN
 BABA MZAZI WA BI ARUSI SARAH
CONSO SALOONIST MKONGWE WA BANTU SALOON NIMEFURAHI KUONANA NAYE 
TINA PENDEZA SANA...!!!
RED CARPET
MIE NA CONSO....!!!!
SWAGGA


Post a Comment

5 Comments

 1. Uyo dada alievaa long dress ya gold mzuri na kapendeza hongera zake.

  ReplyDelete
 2. manshaalaaah harusi nzuri kapata mzungu kijana mwenzake wamependezeana vizuri

  ReplyDelete
 3. wamependeza wote kwakweli

  ReplyDelete
 4. Tinah , recho na rose mmependeza ,biharusi hongera mama na mmeo.

  ReplyDelete
 5. huyo kibonge mwenzangu mwenye black na lace kanogo umenunua au umeshonea wapi sijui

  ReplyDelete