WOMENS CELEBRATION 2014-TIKETI ZIKO SOKONI!!!

WALE WADAU WANGU MNAOPIGA SIMU KUULIZIA TIKETI SASA 


HAYA WADAU WA MASHUGHULIBLOG NAPENDA KUWAFAHAMISHA TAREHE 8TH MARCH 2014  NI SIKUYA WANAWAKE DUNIANI, HAPA KWETU BONGO  8020FASHIONSBLOG, WAMEANDAA EVENT YA KUSHEREKEA SIKU YETU ILI NA SISI TUJIMWAGE, TUJIACHIE KWA RAHA ZETU, WAHI TIKETI YAKO MAPEMA, ANDAA KIVAZI CHAKO CHA KIAFRIKA....!!! KUPENDEZA MUHIMU WADAU WANGU TUKUTANE KWA PICHA ZA RED CARPET...!!! ZAMA NDANI KUONA ZAIDI..

MAHALI         ::DIAMOND JUBILEE VIP HALL
   MUDA            ::SAA 5 ASUBUHI HADI 2 USIKU
                                         SIKU                ::JUMAMOSI
                                         TAREHE         ::8 MARCH
HK COLLECTIONS, WANA VITENGE ORIGINAL KWA AJILI YA VAZI LA KIAFRIKA HUJACHELEWA BADO WAONE UPENDEZE,

MAWASILIANO:: +255 715 555 525
EMAIL.:hmbamba@yahoo.co.uk

WANAPATIKANA:: KINONDONI BLOCK 41 PLOT NO.; 35 MAJI STREET (MTAA ZILIZOKO OFISI ZA DAWASO, NYUMA YA JENGO LA AIRTEL UTAONA SALOON YA HK's IMPRESSION.
 KUDARIZI MAUA MBALIMBALIPost a Comment

0 Comments